Kinyaa cha tongue kiss

Kinyaa cha tongue kiss

Mtu anaposema ati anaona kinyaa mdomo wa mwenzi wake unajua huyo mtu ni taa ya hira?? Unampenda au unamtwaa tu. Jameni, mpaka mtu akuvulie pichu yake kwa amani na furaha si unajua kakuheshimu mno? Kama ni hao hit and run hata uso wake sitakagi kuuangalia. Lakini huyu mother house wangu, tuna 40 yrs kwenye ndoa lakini kila siku ulimi lazima wakati wa kuagana kwenda usingizini. Sijawahi naye haja wahi kuona kinyaa.
Kwani kiss ni nini jamani, kama hujui maana yake au faida yake acha na piga kimya tu. Kila kitu kina mahali pake.
 
miaka 40 katika ndoa hongereni
 
miaka 40 katika ndoa hongereni

Unawapongeza hao wenye miaka 40 katika ndoa!!!!!!!!!!!!: Hiyo ni ndoa changa sana, sisi tuna 65 katika ndoa lakini juisi tunapeana kama kawaida halafu naipenda juisi ya my wife wangu kuliko ya Azam Mango
 
Ukiona unasikia kinyaa kwa mpenzi wako ujue mapenzi yashaanza kuisha hapo,mapenzi uchafu la'aziz wako huwezi kumuonea kinyaa
 
Unawapongeza hao wenye miaka 40 katika ndoa!!!!!!!!!!!!: Hiyo ni ndoa changa sana, sisi tuna 65 katika ndoa lakini juisi tunapeana kama kawaida halafu naipenda juisi ya my wife wangu kuliko ya Azam Mango

hahaaaaaaa Qualifier kumbe wewe ni muongo hivi nilikuwa sijuiagi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom