Sasa ni dhahiri kuwa vita ya CCM kati ya Kingunge Ngombale Mwiru (mzee) na rais Jakaya Kikwete imeshika kasi baada ya kada huyo wa siku nyingi wa CCM kuweka bayana kuwa rais Kikwete sasa ameifanya CCM kama chama chake binafsi.
Kingunge pia amesema kuwa endapo Kikwete ataendelea kushikilia msimamo wake, CCM itaanguka katika uchaguzi mkuu ujao.
Hayo ameyasema wakati akihojiwa na ITV habari.
Mimi nipo Dodoma kusubiri maamuzi ya kamati ya maadili na usalama ya CCM na nitawaletea kila ninachopata.
Acheni kumzulia Mh.Jakaya Kikwete - ni Wapi Kingunge alimtaja kwa jina JK??? Kwani Tanzania ina ITV ngapi au ITV ya Uingereza imehamia IPP Media maanake mmliki wake ni copycat wa majina ya UK Media kuanzia ITV, Radio1-5, Guardian nk - wasifikili wasikilizaji hawana akili ya kushindwa kujua kinacho endelea nyuma ya pazia, si rahisi mzee kama yule akutwe na reporter wa ITV akiwa bustanini peke yake - was it a coincident kutangaza clip hiyo kwenye primetime? I don't think so – we inakuwaje mtu mmoja anapewa airtime ya zaidi ya dakika tatu kuzungumzia masuala ya CHAMA in public wakati yeye akijua wazi ni stalwalt wa CHAMA, hivyo alipaswa kuzungumzia dukuduku lake ndani ya vikao vya chama sio barabarani!!
Mtu ungetegemea busara zake zingetumika kuhitisha kikao cha dhalula na wazee wenzake namely: Mzee Mkapa, Mzee Hassan Mwinyi, Mh.Kinana, Mzee Cleopa Msuya, Mzee Pius Msekwa, Mh. S.H.Salim, Mh.Commando, Mh.Maua Daftari – mwenye kiti akiwa ni Mzee Mkapa – kundi hilo ndilo linaweza kuwaodoa wote waliokihuka with impunity masharti ya chama licha ya kuonywa zaidi ya mara moja na kupewa adhabu ontop – narudia kusema wagombea ambao hawajali lolote waondolewe tu bila ya kupeleka majina yao CC au NEC, hakuna ambaye atalahumu CHAMA kwa kuwaondoa, wawahia mapema kabla hawaja tuletea zahama za Kenya katika Taifa letu, tukiwachekea au kuogopa lawama tunaweza kujikuta tunaingia kwenye machafuko yasio ya lazima.
Vuguvuvu la mchakato wa Urais lisiwafanye Wazee waliokuwa wanategemewa sana kwa busara zao siku za nyuma leo hii wanajikuta wanagehuka kuwa
a neither nor like a BAT kwa sababu ambazo zinashangaza kidogo!! Niwakumbushe wagombea kwamba CCM ni zaidi ya mtu binafsi kwa maneno mengine hakuna mwanachama/wanachama wa CCM ambaye ana ubavu wa ku-blackmail CHAMA na kutisha tisha watu – kama unakidhi sifa utapendekezwa lakini hizi cowboy tacticts za kutaka kulazimisha kushika madaraka
come rain or shine ni hatari sana, sijui kama Watanzania wenzagu wanaliona hilo.