Kingunge ni Team Lowasa na Nape ni Team Membe! Patamu hapo, CCM mwaka huu mtajiua wenyewe
Waliitabiria CDM ife haijafa sasa kitakufa chama chao.
mpuuzi wewe unazani sisi atujaangalia ,na vipi ya mzee butiku,
kaeni huko nyie mavuvuzera wa lowasa,hatima yenu imaishakamilika,
ni nani mwenye mamlaka ya juu kwenye chama ya kuimplement na kuinforce katiba na kanuni za chama jiongeze kidogo
Kingunge is very stupid aged man. He is doing the same thing by supporting Lowasa in the day light against his party's policy. Nyani haoni kundule!
Huu saaa upotishaji bwana ajasema hivyo,kasema mzungumzaji wa chama ambae wote tunajua ni bwana Nape,wewe taarifa yako hii umeitolea wapi aisee..