Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
2010 JK alisema suala la Urais lilikuwa la familia yake, sasa watu walishindwa kung'amua kuwa Rais anayetokea CCM ndio Mwenyekiti wa Taifa wa CCM. Simple logic ni kwamba kama Urais ni suala la familia basi ata ile kofia nyingine ni suala la familia vile vile!