Pole sana Nape Nnauye naona nyota yako inazidi kufifia, mara nyingi kumekua na taarifa za wewe kushushwa jukwaani na Kinana kutokana na kauli zako, juzi kati hapa ukaja na goli la kidole mara na mkono na sasa umekuja na jipya!
Mzee Kingunge amejitokeza hadharani na kuonya kuwa kauli zako zinakizika chama chako na mimi nasema mfe tu maana tumechoka! Kingunge amethibitisha kuwa huko ndani ya CCM kuna fukuto kubwa na wala sio Demokrasia tena bali ni Domg ghasia ndio iliyojaa huko CCM.
Pumzikeni kwa amani
Chonde chonde wanaccm mmemsikia Mzee kingunge akimpigania FISADI wake eti ni lazima apitishwe yeye lowassa in nani?

sasa wewe unamfukuza mwenye chama? nyinyi ndio wapangaji mnatakiwa muondoke wao wamekitoa chama chao mbali nyie mnadandia tu mwambie mwenyekiti wako afungue mdomo sasa kingunge kashamaliza haogopi mtu.
mtoto hana adabu kabisa yule,atajahama nchi kwa kihoro baada ya EL kuapishwa
Who is Kingunge? I believe he has lost the moral authority as a clean politician. Had he remained neutral probably he could save as a re conciliator within the part, unfortunately he decided to take sides so he has lost the credibility of playing the reconciliation role within the party. A politician of his caliber was supposed to remain neutral and play an advisory role
Hii tabia ya kuropoka akiwa majukwaani au vyombo vya habari sio sahihi.Ni tabia iliyofanywa na kada mkongwe wa ccm kule zanzibar na hatimaye imepelekea kutimiliwa ndani ya chama alichokiasisi.
Kingunge ametishia kiti na chama mara tatu tena akiwa nje ya vikao halali vya chama.
WATU WACHACHE WAMEIPOKA CCM YETU WANAFANYA WAPENDAVYO NA WALA HAWARUHUSU DEMOKRASIA TENA
TUNASEMA NO!!!
WE WANT DEMOKRASI WITHIN
MZEE MKAPA NA KINANA ISAIDIENI CCM SASA!
chama kinaenda kufichwa uvunguni kabisaaaa!
Hii tabia ya kuropoka akiwa majukwaani au vyombo vya habari sio sahihi.
Ni tabia iliyofanywa na kada mkongwe wa CCM kule Zanzibar na hatimaye imepelekea kutimiliwa ndani ya chama alichokiasisi.
Kingunge ametishia kiti na chama mara tatu tena akiwa nje ya vikao halali vya chama.
Pole sana Nape Nnauye naona nyota yako inazidi kufifia, mara nyingi kumekua na taarifa za wewe kushushwa jukwaani na Kinana kutokana na kauli zako, juzi kati hapa ukaja na goli la kidole mara na mkono na sasa umekuja na jipya!
Mzee Kingunge amejitokeza hadharani na kuonya kuwa kauli zako zinakizika chama chako na mimi nasema mfe tu maana tumechoka! Kingunge amethibitisha kuwa huko ndani ya CCM kuna fukuto kubwa na wala sio Demokrasia tena bali ni Domg ghasia ndio iliyojaa huko CCM.
Pumzikeni kwa amani
Hii tabia ya kuropoka akiwa majukwaani au vyombo vya habari sio sahihi.
Ni tabia iliyofanywa na kada mkongwe wa CCM kule Zanzibar na hatimaye imepelekea kutimiliwa ndani ya chama alichokiasisi.
Kingunge ametishia kiti na chama mara tatu tena akiwa nje ya vikao halali vya chama.
Kingunge hana jipya awasikilize wazee wenzake wenye busara na maono pia wanaoitakia mema Tanzania taifa letu akina Mzee Joseph Butiku na Jaji Sinde Warioba wakisimama kuongea wanaongea mambo yenye maslahi kwa Taifa. Kingunge roho inamuuma kwa kuwa Taifa linajua yuko timu Lowassa basiPole sana Nape Nnauye naona nyota yako inazidi kufifia, mara nyingi kumekua na taarifa za wewe kushushwa jukwaani na Kinana kutokana na kauli zako, juzi kati hapa ukaja na goli la kidole mara na mkono na sasa umekuja na jipya!