Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Hiki kiajuza badala kikacheze na wajukuu zake huko,kimekalia uchonganishi tu,mbona wazee wengne wa ccm hawana tamaa za kijinga hvyo?
 
Kingunge ndiy aliyemweka Jk kwa vigezo anavyovijua yeye wakishirikiana na EL, RA, NAZIR KARAMAG, MAREHEMU KAWAWA, kwa makubaliano kwamba baada ya jk afuate EL kusudi wanachokitafuta kwa tz, kiwe kikomaze mizizi.

Hakuna asiyejua kingunge yuko na lowasa katika ufirauni na kilajambo. Mafisadi wamejipanga kila mtu kwenye sehemu yake.

EL, asimamie utanganyika ili awahadae watu kwamba ni mtanganyika safi,kujitangaza kwa kutoa misaada katika makundi njaa mbali mbali ambao yako nchi nzima na ndiyo yanayosema anafaa. Ukiuliza kwa vipi? Utasikia, "NDIVYO WANAVYOSEMA WANAOMFAHAMU", uliza wanaomfahamu ni akina nani? "TUNASIKIA TU WATU WANAMSEMA". Efficiency and effectiveness ya ujuha na umaskini katika kusimamisha dola ya mafisadi!.

RA. asimamie idra ya fedha na uwezeshaji wa kila hali kwa kutumia mafedha ya ufisadi na Iran kwao.

Kina karamagi, chenge, na mafirauni wengine idara ya propaganda na udanganyaji uma.

JK na Kingunge walikuwa rasmi wasimamie maamuzi ndani ya vikao vikuu vya chama ijli kwa nguvu yoyote inayohitajjila EL apitishwe.

Na hii inakwenda hadi kuhakikisha TISS and Jesshi la polisi wanatumia nguvu yao kuhakikisha EL anatangazwa raisi hata kama hatapata kura.
 
Huko lazima watu watajikatia ROHO tu,nina wasiwasi na Nape maana mkulu akiondoka tu aanze kuaga mapema kama hajaiba basi ajipigie pesa zake za nguvu asepe.Hana maisha huko..............

umemsahau na dogo KONDAKTA wa KINO:mullet:
 
umemsahau na dogo KONDAKTA wa KINO:mullet:

Huyu saa hizi anajidai kutafuta MARAFIKI si umeona kajipeleka kwenye Madereva akidhani japo kidogo atakubalika ,kumbe ni yale yale Baniani Mbaya....................Mengine nenda nayo.Huyo akiondoka tu Mukullu na yeye atafute pakukimbilia maana kama hana nyumba basi aanze kujenga mapema kabla ya OKOTOBA 2015 iwe imekwisha...........
 
Na Ole wenu mumuudhi mganga wenu wa chama!! Chama kinakufa hicho, atawapiga vurugu mtwangane. I can't wait to see ccm dies..!
 
Naenda kujiandikisha ili nipate hicho kitambulisho kwanza. Kupiga kura ni majaliwa.
 
Kingunge kanyaga kanyaga babu......kanyaga.............
 
Kmanga ..unalojua nofahamishe nami.nikuelekeze achana.na.porojoza siasa ..dl na facts
 
Kwenye gazeti la Mwnanchi la leo lina taarifa hii na naomba kulinukuu gazeri:
Mwanasiasa Mkongwe wa CCM , Kingunge Ngombale Mwiru amemshukia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye kwa kauli zake alizodi zinaminya demokrasia na kwamba CCM haiwezi kusimma wanapopambana wenyewe kwa wenyewe.
Kingunge ambaye hivi maribuni aliweka bayana kumuunga mkono Mbunge wa Monduli , Edward Ngoyayi Lowassa katika harakati zake za kuwania urais , alisema hakubaliani na kauli ya Nape kuwa Wagombea wasioridhika na uamuzi wa Kamati Kuu(CC), hawezi kukata rufaa kwa sababu ya muda kuwa mfupi. Mwisho wa kunukuu.
Sote tunajua Nape ni msemaji wa chama na ni mjumbe wa kamati Kuu na kwa maana hiyo kauli yake inaweza kuwa kauli ya Kamati Kuu na CCM kwa ujumla. Binafsi naamini Kama mwana CCM , kingunge hawezi kumshukia kiongozi wake waziwazi hivyo, anaweza kufanya hivyo kama atasimama kama mtu binafsi na kwa maslahi ya mtu binafsi. Je ameongea kama Team Lowassa? Na kama jibu ni ndiyo je, anajuaje kama Lowassa ndiye atakatwa peke yake? Kingunge anajuaje kama wakikatwa wengi, ni Lowassa pekee ndiye atakayekata rufaa?
 
Like a caged tiger, Kingunge amesahisi upepo mbaya unamwelekea!!
 
Mwenyekiti wa ccm anajua madhara ya kiingia madarakani kwa nguvu ya kikundi flani,kwani yeye kakumbana na hali hiyo.

Nafikiri hawezi kukubali hali hiyo ijirudie.
kama kweli anaitakia mema ccm na nchi yetu asiruhusu kiongozi atakayeingia madarakani kwa nguvu ya ufadhiri wa pesa hii ni hatari kwa usitawi wa taifa letu.
 
Acheni wazee wapumzike. . . . . .si mnajua tabia za wazee waliozoea madaraka siku wakiyakosa. . . .
 
Like a caged tiger, Kingunge amesahisi upepo mbaya unamwelekea!!

kingunge keshaambiwa Edo kakatwa na mipango yao likuwa kukata rufaa!Cha ajabu wamekatwa wengi tu lakini hiki kibabu ndo kimeshupaa kinataka kutuharibia nchi yetu na CCM!Enzi zake zimekwisha na sisi tunataka tuanze na Nyerere Mpya kama wao walivyobahatika!
 
Mzee Kingunge kajichanganya kujishabihisha na Team Eddo, sasa kaona upepo unakwenda vibaya kwenye team yake ana anza kulalama.

Angebaki neutral kama akina Mzee Mwinyi kisha akayasema hayo, utetezi wake labda ungekuwa na mashiko. Lakini sasa amejimaliza mwenyewe, asifikiri siasa za sasa ndani ya CCM ataziweza kuzi-control huku yuko kwenye kambi ya mafisadi yaliyokubuhu.

Mzee huyu anataka kumaliza vibaya, kizazi kipya ndani ya CCM watamchana-chana mwisho aone wamekosea adabu apate kihoro afe mapema!
 
Back
Top Bottom