Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Mzee kingunge anakosea sana yeye kama Mzee wa Chama hakutakiwa kuwa na upande bali alitakiwa kuwa Mshauri wa chama sasa keshajiondolea heshima hamna atakae msikiliza tena...mbona wenzake kina warioba..Butuku..wamebaki kutuasa na kutufunza vijana wakiongozwa na uzalendo yeye ananjaa gani inayomuondolea utu?
 
wamekata mirija fedha pale ubungo bus terminal kwa hiyo lazima achanganikiwe mzee wa mamvii
 
Huyu mzee kama anapagawa hivi, yeye hawezi tena kutoa ushauri ukazingatiwa wakati alisha fanya chaguo lake. Au hawa ndio wale wazee marehemu captain Komba aliyewamaanisha enzi ya bunge maalum?
 
Binafsi naichukia ccm na mambo yake karibu yote, kama mtu atamsoma huyu mwenyekiti wa masangoma vizuri bila ushabiki wa aina yoyote, I mean awe huru kichwani mwake lazima atamuunga mkono Kingunge na kutofautiana na Nape, alichokisema Nape ni uvunjifu wa demokrasia na chama sio cha mtu isipokua cha kundi la watu wanaofuata taratibu zao, Kingunge ameenda mbali zaidi kwa kutaja hadi mfano wa Malecela but all in all, napenda wakiendelea kulumbana namna hi ili hili lichama lijifie tu sasa cause nahisi limeisha zeeka sana.
 
Mzee kingunge anakosea sana yeye kama Mzee wa Chama hakutakiwa kuwa na upande bali alitakiwa kuwa Mshauri wa chama sasa keshajiondolea heshima hamna atakae msikiliza tena...mbona wenzake kina warioba..Butuku..wamebaki kutuasa na kutufunza vijana wakiongozwa na uzalendo yeye ananjaa gani inayomuondolea utu?
Mnamuonea sana mzee Kingunge kwenye hili, hata mzee Nyerere alipokuwa anawaponda akina Malecela, Lowassa, Kikwete wakati ule wa 1995 alikuwa na mgombea wake ambaye alikuwa Mkapa, hivi Kingunge ana tofauti gani na Nyerere kumsimamia Lowassa? Watu wenye akili ndefu hawawezi kushangazwa na anachofanya Kingunge kwa Lowassa. Kama Lowassa hafai basi hata CCM itakuwa haifai kwani Lowassa ni sehemu ya CCM kwenye awamu zote nne za utawala wa ccm. Kama Mramba na wengine wako korokoroni leo ilishindikanaje kwa Lowassa kama angekuwa na makosa makubwa kiasi hicho cha kutofaa kuwa rais? tuachane na akili za kuambiwa
 
Binafsi naichukia ccm na mambo yake karibu yote, kama mtu atamsoma huyu mwenyekiti wa masangoma vizuri bila ushabiki wa aina yoyote, I mean awe huru kichwani mwake lazima atamuunga mkono Kingunge na kutofautiana na Nape, alichokisema Nape ni uvunjifu wa demokrasia na chama sio cha mtu isipokua cha kundi la watu wanaofuata taratibu zao, Kingunge ameenda mbali zaidi kwa kutaja hadi mfano wa Malecela but all in all, napenda wakiendelea kulumbana namna hi ili hili lichama lijifie tu sasa cause nahisi limeisha zeeka sana.

Hebu waonye hao, maana kama wakijamba kwa hasira lazima watajinyea tu kwenye bukta zao za kijani
 
Huyu mzee kama anapagawa hivi, yeye hawezi tena kutoa ushauri ukazingatiwa wakati alisha fanya chaguo lake. Au hawa ndio wale wazee marehemu captain Komba aliyewamaanisha enzi ya bunge maalum?
Nyerere alifanya nini kwa Mkapa mwaka 1995? acha kusahau, au ulikuwa hujazaliwa?
 
mishipa imemsimama wewee mangapi haki hatendeki anakaa kinywa tu?mbona hawakemei wale marefa waamuzi ambao timu yao inacheza hana lolote maslahi yake ndio yanamsumbua,chama cha vibaka vituko tupu
 
Mzee kingunge anakosea sana yeye kama Mzee wa Chama hakutakiwa kuwa na upande bali alitakiwa kuwa Mshauri wa chama sasa keshajiondolea heshima hamna atakae msikiliza tena...mbona wenzake kina warioba..Butuku..wamebaki kutuasa na kutufunza vijana wakiongozwa na uzalendo yeye ananjaa gani inayomuondolea utu?
Hata Mkapa na Mangula mwaka 2005 walikuwa na mgombea wao, sio Kikwete. hatuwezi kumshangaa Kingunge leo, maana ni Kingunge huyu huyu ambaye chaguo lake 2005 alikuwa Kikwete waziwazi, leo kwanini iwe nongwa kusema Lowassa anafaa?
 
Huo ndiyo ukweli ingawa ni mchungu kwa baadhi ya watu! Kingunge ana nguvu sana ndani ya nchi hii! Kingunge ni kikwazo kikubwa cha mageuzi!

Kinana na wazee wengine wamekesha na Kingunge usiku kucha lakini wapi! Kwa sasa upepo ndani ya kamati kuu unaweza kubadilika! Imebidi wakae wagawane vyeo kwanza ili kuweka mambo sawa! Vikao vitachukua muda mfupi sana (kamati kuu na halmashauri kuu) kile cha maadili kilishafanyika ila 'ndo mambo ya Kingunge hayo'

Kingunge ni mtu wa aina yake nchini! Ni mbishi zaidi ya kiazi! Yeye ndiye CC, ndiye top na ndiye kila kitu akisema ni Kingunge kasema! Inasikitisha sana!!!
 
kwahiyo ENL na kambi yake wameibuka kidedea. ?
so ccm hakuna wa kama ENL..?
 
Sema tu Kikwete ni dhaifu kazee kama kale unakaficha mpaka uteuzi uishe.
 
wala usimsingizie kingunge..tatizo ni mwenyekiti wa chama chao...huyo ndio tatizo...hata hayao yanayoendelea huko chanzo ni yeye....mzee butiku juzi alisema na akamaliza kila kitu
 
Huo ndiyo ukweli ingawa ni mchungu kwa baadhi ya watu! Kingunge ana nguvu sana ndani ya nchi hii! Kingunge ni kikwazo kikubwa cha mageuzi!

Kinana na wazee wengine wamekesha na Kingunge usiku kucha lakini wapi! Kwa sasa upepo ndani ya kamati kuu unaweza kubadilika! Imebidi wakae wagawane vyeo kwanza ili kuweka mambo sawa! Vikao vitachukua muda mfupi sana (kamati kuu na halmashauri kuu) kile cha maadili kilishafanyika ila 'ndo mambo ya Kingunge hayo'

Kingunge ni mtu wa aina yake nchini! Ni mbishi zaidi ya kiazi! Yeye ndiye CC, ndiye top na ndiye kila kitu akisema ni Kingunge kasema! Inasikitisha sana!!!

Mkuu umeona sasa,hii ndio hali halisi tuliyokuwa tunakwambia,CCM ni zaidi ya uijuavyo,wakati mwingine unashangaa kwa nini wanafanya mambo kinyume na matarajio ya wengi,watu kama kina Kingunge ndio kazi yao hasa hiyo,ku pindua mambo upside down!
 
Ndio tunavoweza kusema katika speech ya Mh Kingunge channel 10.

Poit ya kwanza alisema tusiwadharau watanzania tukasema hawawezi kufanya fujo ,akasema hawa watanzania ndio waliopigana vita vya majimaji, hawa wahehe walimpiga mjerumani ni watanzania hawa hawa.

Hii auli ni ya kweli kabisa ,watanzania ni makatili na wasioogopa nadhani kwa afrika mashariki hakuna wa zaidi kwa ukatili
-mauaji ya albino
-kupiga nondo za kichwa
-kuchoma vibaka
-Kuchinja wapenzi wao
-kuteka na kunajisi watoto
-kujiua kwa kujidhuru kinyama
-mauaji ya vita vya kikabila ya kutisha

-Kuchoma magari na mali wakati wa ajali za magari-Bunju imefanywa na watoto wa shule na wananchi
-ulawiti katika mafumanizi nk

Inapaswa watawala na viongozi wa vyama vya siasa mkachunga ndimi zenu na kupunguza jeuri zenu
 
Back
Top Bottom