Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

kiujumla huyu babu alipaswa kucheza na wajukuu nyumbani badala ya kuhangaika kuwatetea wagombea wenye madoa kwa taifa letu...
hayo madoa wewe na wenzio wachache ndio mnayaona? Mbona idadi kubwa ya watanzania wanamsapoti huyo mnayesema ana madoa?
 
Huo Ushahidi wa kutumia Pesa, hata mimi nataka sana kuuona, ili nichague mbivi na mbichi, nimeshauulizia mara nyingi sana, ndani na nje ya JF, lakini naaambulia Porojo tu.

Ushahidi mbona upo wazi sana mkuu.lakini mwenyewe fisadi lowassa anasema ni takrima anapata fedha kutoka kwa marafiki zake au wewe huoni? Waulize viongozi wa dini ,vikundi vya kwaya na vijana waendesha bodaboda watakwambia jinsi walivyovuna kutoka kwa lowassa.
 
kwa kiliyako uliyosomeshwa kwa.mkopp ambaoau jalipa serikalini.kuna.kesi waliomfungulia.katiya hizo.na.kama.sio

usiandike.----- tena kwenye.ma great thinkers
Pdidy usijifanye pimbi ama kujipa upofu kwa ajili ya kushibisha tumbo lako. Kati ya hayo niliyoandika ni lipi hulijui
 
Last edited by a moderator:
Hizi siku mbili hii mijizi itatafutana hadi basi wanaonesha Kila dalili zakutapatapa wanapokata roho
 
Lakini bw. Sam wote tumeisikiliza hiyo taarifa ya habari na hakuna popote alipomtaja yeyote kwa jina. Angeweza akawa alikuwa anamlenga Kikwete au Nape.

Ni kweli hakumtaja mtu japo aliongea kwa hisia kali kuonesha dhahiri shahir kuwa yupo upande wa EL kwa kisingizio anapendwa na watu. Tatizo la mzee huyu anaangalia kushinda chama, haangalii maslahi mapana kwa faida ya nchi. Yeye anaangalia ushindi wa chama tu wakati wenzake wanaamini kama taifa na vyama vyote vilivyopo bado ccm ndio chama chenye nafasi kubwa ya kutoa rais na hivyo ni lazima awe kwa faida ya chama na taifa kwa ujumla wake. Sipendi mawazo ya kingunge.
 
Kwanza ccm wamemvumilia Sana huyu Lowasa kwa rafu alizocheza alipaswa kufukuzwa siku nyingi Sana.haya ndio mambo alileta Zitto pale chadema wakamtimua.Zitto hana tofauti na Lowassa.mtu anayekigawa Chama Ni mtu hatari sana.
 
Kingunge Kaongea maneno mazito sana, Kila mwenye mapenzi mema na CCM hapaswi kufanya yaliyokemewa na Mkongwe huyu! CCM lazima ifuate matakwa ya sisi wanachama na sio viongozi, ambao ni wachache.
mkuu kwani bado kuna mtu mwenye akili timamu bado ana mapenzi na ccm?si bora hata wewe una mapenzi na tumbo lako
 
Chama ni taasisi ambacho kinachoundwa na watu, inashangaza leo hii Nape anapokataa sauti za watu wanaounda taasisi hiyo. Wanataka waisikilize kauli ya nani?

Kama wanachama wenyewe wanahisi kutokutendewa haki yao, hofu ya Nape na wenzao juu ya watu kukata rufaa inatokana na nini? Eti hakuna kukata rufaa, hii sheria wameitolea wapi? Umewahi kuona wapi hiyo?

Hii tabia ya baadhi ya watu kujivika u Mungu mtu ndani ya CCM wanakiharibu chama na tuna kila sababu ya kuhoji dhamira zao kwa CCM
mkuu tugawane maana hili povu si bure
 
Back
Top Bottom