Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

kingunge anataka lowasa apitishwe na chama chao,Na kikwete anataka membe apitishwe...Akina warioba wanamtaka makongoro apitishwe......karume anamtaka ally karume apitishwe....NI KWELI PATACHIMBIKA


Tutegemee ya KANU ya mwaka 2002
 
Huyu mzee kingunge akifa maiti yake itupwe mtoni aliwe na mamba.hana adabu kabisa.kazee kameshupaa kabisa kutetea jambazi kwa sababu tu ya pesa.shenzi sana.
 
Huyu mzee anazeeka vibaya, ukisikilza vizuri lile kongamano la warioba hamprey na butiku wamemnanga hasa hasa.
 
Nakumbuka siku moja sugu akichangia hoja bungeni alisema kamwe huwezi badilisha number kama ni 2itakuwa 2,kwa sasa number inayosoma ni LOWASSA....
 
Kingunge amekubali kutumiwa na wezi na mafisadi wa nchi hii hivyo akubali kudhalilika uzeeni, amekosa busara na hafai kabisa hata kusimama mbele ya umma na kuongea. Aliamua kujidhalilisha kuanzia siku nyingi ikiwemo kuliibia Taifa kwa kujifanya mkusanya ushuru hapo kituo cha mabasi Ubungo, kuingizwa kwenye Bunge Maalum la Katiba kwa kigezo cha kuwakilisha waganga wa kienyeji kumbe dhamira yake ilikuwa ni kutetea maslahi ya wezi na mafisadi wa Taifa hili na sasa ameamua kusimama kidete kumtetea Lowasa ambaye kila mtua anajua wazi kuwa ameshiriki mambo mengi ya kifisadi ndani ya nchi yetu.

Hivi Mwalimu Nyerere angefufuka leo na kumkuta huyu mzee alivyoamua kuvua utu wake kwa minajili ya kumtetea Lowasa angejisikiaje
LOWASSA aliwahi kuiibia nini Nchi hii zaidi ya majungu, fitina, na umbea usiokuwa na ushahidi?

Vyombo vyenye mamlaka ya RUSHWA, UFISADI, WIZI etc havijawahi kumtia hatiani LOWASSA kwa lolote lile, iweje wewe na ubush lawyer wako umtuhumu LOWASSA kuwa ni mwizi?

CCM yenyewe lishindwaje kumwajibisha muda wote huo? matokeo yake ikaona LOWASSA yu safi kiasi cha kuweza kupewa fomu ya kugombea Urais kupitia CCM?

Hizi Porojo hazina nafasi tena ndani ya CCM. Kwakuwa LOWASSA ndiye anayekubalika ndani na nje ya CCM,

tumchague huyo, hatuna option nyingine kama chama.
 
Mbona na yeye Kingunge anamuunga mkono mamvi, huko nako si kugawa chama na kukiua. Na mimi nasema kife tu maana tumechoka sasa.
hana kosa kumuunga Mkono maana hayupo kwenye uongozi wa chama
 
Itakuwa kahaidiwa kurudishiwa tenda parking system na kukusanya ushuru ubungo bus terminal

Huyu Mzee alikuwa anakusanya 4.5 million kwa siku. 1.5milion pekee ndo ilikuwa inakwenda halmashauri. Ilikuwa ni zaidi ya mshahara wa Rais. Alikuwa anakusanya pato la 90millioni per month just imagine !
 
Kweli kabisa, lazima wanachama wote wasimame kidete kukemea tabia ya wahuni wachache wanaotaka kukiharibu chama...

mkuu kusimama kidete kwa kumpigia kampenigombea mmojawapo sio sawa. kingunge hajakitendea haki chama chake...
 
kingunge anataka lowasa apitishwe na chama chao,Na kikwete anataka membe apitishwe...Akina warioba wanamtaka makongoro apitishwe......karume anamtaka ally karume apitishwe....NI KWELI PATACHIMBIKA

haa haa kingunge ndo katangaza hadharani lowasa asipopitishwa ccm itapoteza mwaka huu...
 
kingunge anataka lowasa apitishwe na chama chao,Na kikwete anataka membe apitishwe...Akina warioba wanamtaka makongoro apitishwe......karume anamtaka ally karume apitishwe....NI KWELI PATACHIMBIKA

Warioba hajasema Makongoro apitishwe wao wako neutral sana, hawajaegemea upande wowote wanachotaka fisadi asipitishwe basi. Kingunge ameamua kuacha kulea chama na kuwa mshauri kwa wagombea wote akaamua kuwa mpambe wa safari ya matumaini.
 
Lowasa anaboa sana afanye ufisadi wake halafu awe Rais hapana kamwe hatukubari akatwe tu.
 
Huyu mzee kingunge akifa maiti yake itupwe mtoni aliwe na mamba.hana adabu kabisa.kazee kameshupaa kabisa kutetea jambazi kwa sababu tu ya pesa.shenzi sana.

haa haa hivi huyu babu hana wajukuu? kwa nini asicheze na wajukuu? toka enzi za nyerere bado anahangaika tu..
 
Mwalimu pia alisema. Mtu anayetumia pesa kutaka uongozi ni wa kumuogopa kama ukoma.rushwa ni adui wa haki.
Huo Ushahidi wa kutumia Pesa, hata mimi nataka sana kuuona, ili nichague mbivi na mbichi, nimeshauulizia mara nyingi sana, ndani na nje ya JF, lakini naaambulia Porojo tu.
 
Hivi vyombo vya habari vinaanzaje kumpa airtime kwenye vyombo?
Mzee mwenyewe hata kuona haoni vizuri amefikaje huko?

aka kazee kanatia aibu bure.

Ndo utashangaa kanakuwa waziri mkuu... Lol.
 
Back
Top Bottom