Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

mwaka huu tutazika wanachama wengi wa ccm kwa mwendo huu, presha inawahusu
 
Sasa ni dhahiri kuwa vita ya CCM kati ya Kingunge Ngombale Mwiru (mzee) na rais Jakaya Kikwete imeshika kasi baada ya kada huyo wa siku nyingi wa CCM kuweka bayana kuwa rais Kikwete sasa ameifanya CCM kama chama chake binafsi.

Kingunge pia amesema kuwa endapo Kikwete ataendelea kushikilia msimamo wake, CCM itaanguka katika uchaguzi mkuu ujao.

Hayo ameyasema wakati akihojiwa na ITV habari.

Mimi nipo Dodoma kusubiri maamuzi ya kamati ya maadili na usalama ya CCM na nitawaletea kila ninachopata.

mpuuzi wewe unazani sisi atujaangalia ,na vipi ya mzee butiku,
kaeni huko nyie mavuvuzera wa lowasa,hatima yenu imaishakamilika,
 
Lakini bw. Sam wote tumeisikiliza hiyo taarifa ya habari na hakuna popote alipomtaja yeyote kwa jina. Angeweza akawa alikuwa anamlenga Kikwete au Nape.
Mkuu, uwe unasoma kati ya mistari! Kingunge mara zote katika hotuba zake tatu kwa sasa amekuwa akimlenga Kikwete! Pia leo Kikwete kaonyesha kukerwa waziwazi na Kingunge.. ngoja tukusanye details!
 
kingunge anategemea uchawi na sisi tunatengemea mungu tutaona nani mshindi,jiandae aswa,maana kama mpaka sasahivi unatuma takataka zenu humu hata alama za nyekati umeshindwa kusoma ,unaumwa akili kama mzee wenu
 
Lakini bw. Sam wote tumeisikiliza hiyo taarifa ya habari na hakuna popote alipomtaja yeyote kwa jina. Angeweza akawa alikuwa anamlenga Kikwete au Nape.
Kasemaje word by word..., sisi wasomaje ndio tuweze kutafsiri..., ingawa usemayo ni kweli kama hakutaja jina inabidi na mleta habari naye asingeleta tafsiri yake
 
Ukweli CCM migogoro na hawa wazee wenu inawangusha penda msipende hizo ni dalili ya CCM kufell mwaka huu

hakuna kuanguka ccm mwaka huu,haujaona wazee wa ccm kwenye mdahalo nini?
hachana na hiki kibabu chenu rahana ya baba wa taifa
 
Pole sana Nape Nnauye naona nyota yako inazidi kufifia, mara nyingi kumekua na taarifa za wewe kushushwa jukwaani na Kinana kutokana na kauli zako, juzi kati hapa ukaja na goli la kidole mara na mkono na sasa umekuja na jipya!

Mzee Kingunge amejitokeza hadharani na kuonya kuwa kauli zako zinakizika chama chako na mimi nasema mfe tu maana tumechoka! Kingunge amethibitisha kuwa huko ndani ya CCM kuna fukuto kubwa na wala sio Demokrasia tena bali ni Domg ghasia ndio iliyojaa huko CCM.

Pumzikeni kwa amani

Kingunge is very stupid aged man. He is doing the same thing by supporting Lowasa in the day light against his party's policy. Nyani haoni kundule!
 
Hakuwa anamanisha kikwete,ila alikua anamlenga NAPE NAUYE.
 
Hizi habari nzuri sana kwa mstakabali wa Tanzania.!
 
Back
Top Bottom