Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

Nini maana ya mzungumzaji wa Chama? Mods naomba muulinde huu uzi! Mzungumzaji wa chama huwa anaelekezwa na viongozi wa juu wa chama! Kama nilivyomsikia Kingunge anamlenga rais Kikwete na siyo mtu mwingine! Nape asibebeshwe zigo!

Yawezekana mzee kingunge ana maanisha hivyo unavyosema au vyovyote but wewe unasema kamsema jakaya kikwete..wakati hajayasema hayo..ww ndio umetafsiri sasa iyo nukuu umeitoa wapi?
 
mnaangaika na kikwete kwa uchafu wenu, je kikwete 1995 alikuwepo mlipokataliwa na nyerere,?
kelele za vyura haziwezi kuzuia simba kunywa maji,ameishakakwa jipange
na mkienda vibayasijui,ogopa mtu uanamrushia mawe amekaa kimia tu,

jesus! sina uhakika juu ya uelewa wako ila nisijikite sana huko mimi nimehoji ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kudhibiti taratibu na kanuni ikiwa ni pamoja na huo uchafu ambao hata sijaelewa unamaanisha nini
 
Mungu ambariki Rais Kikwete asimamie haki na uadilifu, hili ni jambo jema ambalo Rais Kikwete atatutendea kama kwaheri ya uongozi wake, nchi kwenda mikononi mwa wezi ni jambo lisilokubalika.

Mungu ambariki Rais Kikwete na ampe ujasiri wa kusimamia lililo jema.

Wana CCM na Watanzania kwa ujumla tutamheshimu kwa kufanya hivyo.

Naunga mkono maneno yako. Lakini ngoja leo nikukumbushe kidogo kuhusu Kikwete; rejea akipowageuka watanzania kwenye katiba mpya baada ya chama chake kumtisha. Ataweza leo kutupa rais msafi. R.I.P Nyerere.
 
Kaka huyo yuko benchi la UFUNDI.Huyo kaka huko Chichiem anaogopewa kama Mungu mdogo.Acha kabisa.Akisema wengine wananyamaza

haa haa kumbuka huyu babu hana dini aise. kuna hatar huko dodoma...
 
kingunge hana hadhi ya kuzungumza maneno yale ni mnafiki. kama mzee tangu mwanzo alipaswa kukaa pembeni akisubiri aombwe ushauri lakini kitendo cha yeye kujiingiza mzima mzima kimpigia mmoja wa wagombea kampeni kajishushia heshima. kingunge kwa sasa anatapatapa kumsaidia lowasa na wala sio chama.

Unabii wa kakobe unatimia sasa. Ikulu ya kikwete si ilizarau?? lazima isambaratike
 
Sam ameniguote na akasema mara nyingi Kingunge amekuwa akimshambulia Kikwete. Mimi nasema yote hayo yanawezekana kwani sio lazima amtaje jina watu waelewe anamlenga yeye lakini kwa taarifa ya saa mbil Itv hajamtaja jina pia hivyo huo unazidi kuwa mtazamo wake.
Kama hakutaja jina na mleta mada kataja jina huku akisema Kingunge amesema basi huo ni upotoshaji either ni directly or indirectly..
gsam
Mleta mada please ukileta habari leta kama ilivyo wenyewe tutatoa tafsiri yetu na sio kuleta tafsiri yako, kama ni mawazo yako basi ni vema utuambia kabisa ni mawazo yako...
 
Last edited by a moderator:
Kwani watu kuja kukusikiliza na kupewa fedha kukudhamini ndiyo ishara ya kupendwa?
Nimemsikia Kingunge ITV anasema chaguo la watu ni EL na imejulikana hivyo kutokana na umati uliokuwa unamuunga mkono ktk kukusanya wadhamini.
Na kasema asipopita EL,basi chama ndio kimejizika
 
Sasa ni dhahiri kuwa vita ya CCM kati ya Kingunge Ngombale Mwiru (mzee) na rais Jakaya Kikwete imeshika kasi baada ya kada huyo wa siku nyingi wa CCM kuweka bayana kuwa rais Kikwete sasa ameifanya CCM kama chama chake binafsi.

Kingunge pia amesema kuwa endapo Kikwete ataendelea kushikilia msimamo wake, CCM itaanguka katika uchaguzi mkuu ujao.

Hayo ameyasema wakati akihojiwa na ITV habari.

Mimi nipo Dodoma kusubiri maamuzi ya kamati ya maadili na usalama ya CCM na nitawaletea kila ninachopata.


wanamuoji nini mtu mwenyewe anarahana ya nyerere ndo inamsumbua
 
Safi sana mzee Kingunge:shock::shock::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Chama ni taasisi ambacho kinachoundwa na watu, inashangaza leo hii Nape anapokataa sauti za watu wanaounda taasisi hiyo. Wanataka waisikilize kauli ya nani?

Kama wanachama wenyewe wanahisi kutokutendewa haki yao, hofu ya Nape na wenzao juu ya watu kukata rufaa inatokana na nini? Eti hakuna kukata rufaa, hii sheria wameitolea wapi? Umewahi kuona wapi hiyo?

Hii tabia ya baadhi ya watu kujivika u Mungu mtu ndani ya CCM wanakiharibu chama na tuna kila sababu ya kuhoji dhamira zao kwa CCM
 
Huyu mzee jamani
amemkemea mjukuu wake wa kisiasa aitwaye nape nnauye kwa kauli yake ya kukejeli na kudhuhaki mafisadi wa chama chake.
Hii imekuja kutokana na kauli tata za nape kuwa mgombea yeyeote atakaye katwa jina hataweza kukata rufaa.


--wa ndugu huu ni msiba wa chama cha mapinduzi kilicho kosa mwelekeo na dira katika nchi ambapo liligeuka kuwa saccos ya kulea mafusadi!


"na bado"
 
Back
Top Bottom