Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

Wakuu,

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho.

Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo.

Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa sehemu kubwa Makamu Mwenyekiti wa chama mara nyingi anatokana na Makatibu wakuu wastaafu.

Mfano Mzee Kawawa, alikuwa Katibu Mkuu then akaja kuwa Makamu Mwenyekiti, Msekwa alikuwa Katibu Mkuu, akaja kuwa Makamu Mwenyekiti, Mzee Mangula alikuwa Katibu Mkuu, akaja kuwa Makamu Mwenyekiti.

Mzee Kinana alikuwa Katibu Mkuu, si ajabu atakuwa next Makamu Mwenyekiti baada ya Mangula.

Je, CCM ikiwa mikononi mwa mzee Kinana itaweza kutaradadi tena? Nini tutarajie kitabadilika?

NOTE: Wapinzani walishamsafisha Kinana na “tuhuma za Ujangili” > Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi
lets align jamani.....tembo wetu gonna be safe this time?
 
ccm ni janga la taifa... Watakuja watu wale wale wenye uwezo wa kusababisha matatizo yale yale yanayotukwamisha kuvuka kutoka hapa tulipo!!
 
Back
Top Bottom