Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

Huyu alishatangaza kustaafu shughuli za chama, sioni nafasi yake, akirudi basi atakuwa ni kwa ajili ya kujijenga yeye kibinafsi, baada ya late Magufuli kuvunja mtandao wake wa kuiba jasho la watanzania.
 
Bora tembo wauawe kuliko binadamu kupigwa risasi hadharani na kutekwa
Bora uue binadamu100 wanaohatarisha usalama kuokoa binadamu zaidi ya 55M.

Hatutaki chokochoko za kufanya nchi yetu iingie kwenye mauaji kama ya Rwanda1994.

Mfano jitu Zima linateguka kwa ulevi Kisha linapakazia kuwa limetekwa na kupigwa.
Ingekuwa enzi zile tumeachwa huru nadhani mngetushawishi tuandamane.
 
Angekuwa ana mpango wa kuwaepusha angempumzisha Jpm kweli? Nadhani jiandae kisaikolojia.
Nani amempuzisha? Mungu? Acheni utani. Magufuli amefariki kwa sababu ya wapambe wajinga kama wewe. Werevu na waliopenda walikuwa wanatahadharisha kuhusu korona na usalama wa raia. Nyie mkawa mnamwimbia mapambio na kumsifu eti ameiweza korona. Ujinga gani huu.
 
Nani amempuzisha? Mungu? Acheni utani. Magufuli amefariki kwa sababu ya wapambe wajinga kama wewe. Werevu na waliopenda walikuwa wanatahadharisha kuhusu korona na usalama wa raia. Nyie mkawa mnamwimbia mapambio na kumsifu eti ameiweza korona. Ujinga gani huu.
Pambana na hisia zako na usiache kuvaa barakoa uishi milele.
 
Pambana na hisia zako na usiache kuvaa barakoa uishi milele.
Ndiyo ujinga huu huu mliokuwa manjibu kabla Magufuli hajafa. Kila tukitoa angalizo mlikuwa mnasema ''una ndugu kafa kwa corona''? Haya kiko wapi sasa. Tatizo ni elimu. Ukishaona mtu anasema kuchukuwa tahadhari siyo muhimu kwa sababu hakuna anayeishi milele basi ujue huyo ni mbumbumbu.
 
Philip Mangula kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri y Muungano wa Tanzania
Namkubali sana huyu mwamba na jabali la siasa ila kutokana na umri wake nafasi ya umakamu wa rais itamchosha sana hivyo apumzike. Naamini jabali hili lina uwezo wa kumshawishi Rais Mama Samia tukapata makamu wa Rais bora kabisa.
 
Kinana alitumalizia wanyama porini
Kinana alikuwa sponsor wa majangili na meli iliyobeba shehena ya meno ya tembo ilikamatwa china
Hayati magufuli alikuwa anajua CCM ni ukoo wa panya ndio maana aliukataa uwenyekiti wa chama baada kuingia madarakani 2015/2016 japo ailridhiia kukiongoza chama
BON VOYAGE
 
Back
Top Bottom