Hao Ndugu wanastress balaa msiletee masihara kabsa, apo ndo kumi nambili jion io usiku unakarbia anasali 24/7 afu unaleta post kma hio lazima akuchambeAma kweli..........
Now i get it!!
Hao Ndugu wanastress balaa msiletee masihara kabsa, apo ndo kumi nambili jion io usiku unakarbia anasali 24/7 afu unaleta post kma hio lazima akuchambeAma kweli..........
Now i get it!!
I'm done.Hivi ni ligi???? You keep on mentioning that thread. It's like ile mada imewaumiza sana mkawa mnatafuta come back. Ile mada imewapa free tutoring "Kiswahili" na sio kuwatukana. Unless unipe quote ya tusi. And sijacomplain, I came equipped with a foul mouth too.
Hii ya leo ni kusema tu wamama wa watu wala haina ujumbe wowote zaidi ya kudhihirisha mfume dume. Eti maskrepa yanalazimisha kuolewa,kuna mama amelazimisha umuoe? Ulivyoona ni skrepa ulitoka naye wa nini?
Wanawake wanaosali kwa ajili ya mume ni wote tu, waliozaa na mabikra. . Nishasema huko juu wanaume wanaotakwa ni wachache. Wako walio tayari kusettle for less na wako ambao hawawezi kufanya upumbavu wa kuolewa kuonyesha jamii.
Sio single mothers wote ni wanyonge kama mnavyolazimisha hapa. Na bikra zingine hukaa hadi kuliwa na panya.
HahahahahaaaaMpaka sasa hivi umeona korodani ngani? Unaonekana mzoefu
Usicheke ndugu. Maana kuna mtu anajua korodani zote humuHahahahahaaaa
Hahahahahaa! Hao 30s maboyaaaaa tu. Wengine umcharuko hawauwezi wanaiga kunya kwa tembo tu. Watu wamegonga 40 na upuuzi kina Fausta Kamejaaa, mpaka kimeeleweka sahivi wana bail BIG. We unadhani Klyn alivogonga 30 hakuviona vikopo vya chooni vya kuparamia? Kibaoooooo! Alikomaaaaaaaa mpaka mwishoooo. HILI GAME LA 30 AND ABOVE LINAITWA WINNER TAKES IT ALL, LOOSER LOSES EVERYTHING. NOT EVERY ONE HAS STOMACH FOR IT.
Ukisander, tafuta kikopo cha chooni uolewe utulize mshono.
Kwakweli have no grudges kwako unajihisi tu,sasa ilo ni tatizo lako am over it believe me or not and I consider we good...Grudges are vividly seen. Rejea majibu yako kwangu. Mmechukua kila comment za watu very personal, hadi kuwasemea wanetu ambao bado wapo kwa mbegu zetu, that's being personal.
Huyo lala1 akija kwako kikolo ataondoka na hela zote za kula mwezi mmoja na kukuachia deni zito SACCOS huyo ni mtata,biashara zake zote ni za maslahi.Ahahaha hata wewe ukigonga 30+ utatuliza boli tu na utasikia bila hata kuulizwa"baby Malafyale kama upo home kwako Manzese nije kulala?
Hapo huwa nacheka sana najua tayari kafikisha 30+ huyu na ngoma ni bila bila!Tunakusubiri bana ukifikisha 30+
I dont need any convincing. Im presenting a case ambayo ipo, naishuhudia kwa macho yangu. Na hapa simpashi mtu, nimewakilisha pia opinion yangu juu ya maisha. Naamini kwenye second chance, naamini kwenye msamaha. Ambacho hukijui kuhusu mimi kaka yangu kipenzi, ni ule mstari wa 'basi tutende dhambi kwa sababu neema ipo?' Jibu ni hapana.
Wako wanawake very decent, waliringia ujana wao (siamini kwenye sleeping around, ningekuwa mwanaume ningeringa haswaa kama kuringa ni kutovulia nguo kila mwanamke); wakaingia chaka na kuolewa na wanaume wakashindwana. Ama la wakafiwa na waume zao katika umri mdogo. Haizuii kuwa na furaha na mapenzi mapya kama wana watoto 3.
Ni sawa kutifautiana. Ila kuna second chances na zinafanya kazi sawa tu bila wasiwasi.
Kwakweli have no grudges kwako unajihisi tu,sasa ilo ni tatizo lako am over it believe me or not and I consider we good...
Kuhusu kuwasema wanenu hata sisi ni watoto wa watu,zaeni wa kwenu muone kama kulea ni rahisi na wakishakuwa mshuhudie wanavyokuwa mascrepa,teh chezea mtoto wa kike wewe,subiri wako antakavyoanza kukitembeza utarudi kufungua thread tena....hiii ni vita si ulisema au umesahau mapema...maana kuelimisha hamtaki mnataka kurusha tu mawe....
Lala1 hawezi nipenda mm mrondo!Huyo anawapenda kama nyie bana wenye kazi nzuriHuyo lala1 akija kwako kikolo ataondoka na hela zote za kula mwezi mmoja na kukuachia deni zito SACCOS huyo ni mtata,biashara zake zote ni za maslahi.
Yani huo mstari ndio wanaume wameushika...Oh praise the Lord. You get it!!!
Vitabu vyenyewe ndo hivyo hivyo vilikuwa vinaamrisha majeshi yakawaue wanaume na wamama wa mataifa Mengine lakini wajichukulie mabikra (A. K. A ubakaji). Wala sishangai wanaume wako hivi walivyo, hadi wana vitabu kuwatetea. Their God is God of men only.
Teh, zinaonyesha how empty your glass is rather than how full should your glass be..serious trouble ni either una stress zako zinakutatiza ambazo zinahusiana na relationship, hapa utakataa lakini jitafsiri kuna shida sehemu pengine hata we mwenyewe hujajua...Sawa sista, kuwasemea sio lazima mtu awe na qualifications za kuwasemea, either kujifunza culture yao ukiwa nao au kwa njia ya kusoama.
Hivi comments zangu zinaonyesha najiona najua kila kitu...lol
Hahahaa daah...Well sijui umeishi na wazungu aina gani. Kama Ni red necks hata wao siwataki. Otherwise usifananishe westerners na inferiority complex za huku .
Hapana. Always unaongea kumshusha mwanamke, unademand heshima na kuifanya ultimatum ya furaha. Kama sio upopoma uliotukuka wa kujifanya unajua kila kitu ni nini!!!!
Naamini.hata mwili wake ulishakufaganzi swala la kupenda mtu kwake halipo.ni.kusaka hela na kuwekeza akifikisha fainali atatoa nafasi kwa kopo la chooni litamalaki.Lala1 hawezi nipenda mm mrondo!Huyo anawapenda kama nyie bana wenye kazi nzuri
Akikusikia itakuwa padogo hapa shauri yakoNaamini.hata mwili wake ulishakufaganzi swala la kupenda mtu kwake halipo.ni.kusaka hela na kuwekeza akifikisha fainali atatoa nafasi kwa kopo la chooni litamalaki.
Kaka angu inasikitisha kwakweli, ndio maana nimewauliza hawana watoto wa kike wakipata wataelewa wanachoongea hapa ngoja niwapishe warushe hayo mawemdogo wangu wee...wengine hawana hata dada! waache waongee...punguza Munkari!!!!
It's possible, you may be right Brenda...my marital life is in shambles asee..teh!!!Teh, zinaonyesha how empty your glass is rather than how full should your glass be..serious trouble ni either una stress zako zinakutatiza ambazo zinahusiana na relationship, hapa utakataa lakini jitafsiri kuna shida sehemu pengine hata we mwenyewe hujajua...