Kinadada acheni kumsumbua Mungu

[emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] that's my man and half. Afya ni kitu ninachomuomba Mungu kupita maelezo. Ndoa ni ya muhimu but ndoa sio kila kitu.
una uhakika umemwelewa yule kaboom au umemjibu kimazoea kwa kuwa ni rafiki yako?
 
Mkuu mpaka kufikia hapa majadiliano yalianza mbali sana ,ila ni sawa unavyosema kila zama na kitabu chake ,swala la mwanamke kujitunza ni la muhimu sana hata ikitokea ameshindwa kuvumilia basi walau ajitahidi kuwa na mtu mmoja ,mimi naamini kufanya mapenzi na watu tofauti ni kubeba roho zao lile tendo ni agano ,well ikitokea la kutokea basi tusianze kulaumiana na kubebeshana mizigo,ni swala tu la kukubali hali uliyonayo maisha yanaendelea
 
Bikra ishakuwa habari ya town...!
 
sasa hapo kwenye mtu mmoja na mtu kumi kuna utata. kwani mtu mmoja hawezi kuambukiza vvu au kutungisha mimba? nilifikiri utasemea ngono salama japo nayo utakuwa ume-generalize. Hilo la kuwabebesha mizigo sielewi kabisaaaa unaongelea nini. Kwa vyovyote hapa unaongelea experience yako binafsi. Huyo binti kama alikuacha akaenda kwingine akapata huko mtoto na akaachwa, kisha akarudi kwako msamehe usonge mbele. Wakati mwingine unaweza usielewe lakini chochote kilichotokea ilikuwa ni faida. Huko alikopita hajatoka mtupu na wewe ulivyomkataa hajatoka mtupu ila ukiendelea kuweka uchungu na visasi moyoni utapotea au kupoteza muda. Yeye ataenda kuanza changamoto nyingine mpaka atapoelewa kwa nini yamempata hayo. Wewe kwa upande wako angalia umejifunza nini wewe binafsi na utaendelea vipi badala ya kutumia muda wako kushangilia anguko la huyo dada (ni rahisi na raha sana kumshangilia mtu akipatwa na janga) tukasahau kuangalia mambo yetu. Kama umeumizwa samehe uendelee na maisha.
 
90% ya wanawake waliopo humu ndani ni mikweche. Wamekongoloka Zaidi ya Madada Poa wa Uwanja wa Fisi.

Hapa Jukwaani Shobo kibao,
kutana nao uso kwa uso unaweza kudhani umekutana na Mzimu.

Mifupa imewatoka kama Wagonjwa Wa HIV.. Na Mshukuru uwepo wa Powder Otherwise Mngekuwa kama Betina.....

Unakuta msichana titi limekuwa ndala mpaka linafikia kitovuni Harafu eti anajiita Mzuri... Jitazame upya kisha uje hapa.. Usitegemee kutenda Dhambi huku unajua kwa kutegemea kutubu baadae Huko ni Kujidanganya. Jf ina Vibibi vizee Haina wasichana wa kuishtua mioyo ya Marijali kama Sisi. Kila la Heri... Na wote mngeambiwa muweke picha zenu humu nadhani wengine mngejitoa na jd yenyewe.
 
Bikra ishakuwa habari ya town...!
Bikra ushamba tu,sema anachonga sanaa kuhusu mkewe ndo nikampiga swali dogo tu, JE BIKRA? Kama sio bikra ajue tu wenzie walikula kwa fujo, walikula bila kumbakishia baba basi.
 

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwa maana hio wanaume mngeweka picha zenu mngekuwa kitu mnaatoooooo! Wachaaaa! Kila mmoja wenu HB wa nguvuuuu Ramsey Noah anangoja sanaa, six pack na nini, urefu wa hajaaa. Hao nyieeeee!

Nyokoooooooooo!TUSINYOOSHEANE VIDOLE, WOT TU MBWA KACHOKA SI WANAUME SI WANAWAKE. Tunarudi pale pale EITHER WAY LIFE FU.CKS US ALL.
 
Mie nilijua umemuelewa ukaamua kupotezea!!
Hahaha itakuwa jiwe lililorushwa lilinipiga uchogoni. Kule mwishoni ndo nilibugi kumuelewa. Hapa ukiniuliza nilimuelewaje eti nimesahau Hahaha. Wewe daddy wewe
 
Hahaha itakuwa jiwe lililorushwa lilinipiga uchogoni. Kule mwishoni ndo nilibugi kumuelewa. Hapa ukiniuliza nilimuelewaje eti nimesahau Hahaha. Wewe daddy wewe

Hahahaaaaa! Ulisoma tu jujuu kwakuwa ni dady yako eti? Ila si unajua baba ni baba na baba hakoseagi? Kwahiyo vile ulivyoelewa ndivyo ulivyotakiwa kuelewa.
 
Hahahaaaaa! Ulisoma tu jujuu kwakuwa ni dady yako eti? Ila si unajua baba ni baba na baba hakoseagi? Kwahiyo vile ulivyoelewa ndivyo ulivyotakiwa kuelewa.
Teh he is only responsible for what he writes, not for what I understand. Juzi si alisema hatudongoi eti, nikajua leo katutetea. Nimefuta lile kiss na file letu la undugu lipo kwa Jecha now
 
Teh he is only responsible for what he writes, not for what I understand. Juzi si alisema hatudongoi eti, nikajua leo katutetea. Nimefuta lile kiss na file letu la undugu lipo kwa Jecha now

Hhahaaaaa! Huyo ni dady yako ujue! Damu nzito kuliko maji kwahiyo huko kwa jecha ishia hapo hapo mlangoni.
 
Last edited:
Hhahaaaaa! Huyo ni dady yako ujue! Damu nzito kuliko maja kwahiyo huko kwa jecha ishia hapo hapo mlangoni.
Wee nina ubavu wa kwenda basi, Me na daddy angu tena.. kama wigi na direction
 
wanaume huwa hatu fake vitu kama nyie na kama hatuwezi kujisifu kipuuzi. Umekaa nyuma ya keybord unaandika unachojisikia lakini ukweli upo moyoni Mwako. Mmekuwa kama Vituko mtaani.. Mpo kama makatuni.

Mungu Anatuvumilia kwa Mengi lakini kwa upande Wenu Nyie ni Zaidi. Ukiona shoga ako ana bwana mzuri na mwenye nazo nawe utapiga goti na kumuomba Mungu akupe kama Huyo.

Umetoa mimba zaidi Ya nne kwa makusudi mpaka kizazi kimelegea mimba zinatungwa nje utaenda kupiga goti.

Ukiona mwenzako anamiligi kagari na hujui amekapata kwa njia gani, nawe utakwenda kupiga goti Mungu akupe..

Wakati mwingine hata mtu akivaa wigi na kupendeza nawe unakimbilia kumuomba Mungu Akujalie ulipate.. Sasa huo si ndio Ujinga?

Wengi mnabebwa na Powder na Mawigi.. Ukitembea kama Unarudi Nyuma... Mgongo na kalio havijulikani Vilipo... Harafu eti Mungu nisaidie!!

Jikubalini Mlivyo.. Ukiona ushakula Ujana na Sasa uzee umekupigia Hodi kubali matokeo Tu @Lala 1 hakuna atakayekucheka lakini kama uliwalingia mtaani basi ni zamu yako kujuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…