Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Ooooh!! Sasa kama tumejitia wenyewe yeye inamuuma nini? Hivi kweli unaweza kuishi nyumba moja na mtu kama huyu kabisa na ukamuitacmume!! Alafu umzalie na watoto wamuite baba kweli!! Duuuh imbombo ngafu
Lazima uwe na upungufu kwenye akili
 
Hahahaa nimecheka sana.. Kweli wadada tuna safari ndefu..maskini bado kuna mdada anakubali kukazwa na mtu kama mleta mada hapa,asalaleee dada huko ulipo natanguliza pole,huna bahati,mmeo akili ka za kuku teh..
Ha ha ha.
 
mimi naona kama mabinti ndio wanakoseaga sana,..too bad wakishakosea inakua ni "irreversible" ila wanaume wanaweza ku reverse

Mmmh! Wanaume wanawezaje kureverse? Maana mie kuna ninaowafahamu wanatia huruma basi tu siku zinasonga!
 
Alijisemea @house girl kuwa kuna wanaume inabidi tu uwashauri kwa upoleee wasizae ili kizazi chao kiishie kwao tu!! Wanawake tuna mizigo sisi acha tu! Ukute huu nao ni mzigo wa mtu anagugumia nao huko!!
Ha ha na anasema baby I love u .nyambafu kabisa
 

Kwani si mloambiwa muishi nao kwa akili? Yeye kazi yake ni kukutii tu, we tumia hiyo akili unayoona unayo mtusue, si ndio mlisema mnawataka wa hivyo? Mbona wanaume vigeugeu hivi!!
 
Unajilia mzigo kila siku unambadilishia style ya kumsugua hata kondoms hutumii dem mwenyewe hata kuarrange siku zake za danger hajui anajua kukunjuliwa tu chumamboga na unavyoipendaa hahahahahaha bs fertilization ikitokea tuu dume unanuna unaanza kuwaza kuflash kiumbe daaa zambi mmmmmmh,,,,bahat nzur mission impossible sterling ukaingia mitini demu kaenda kwao kazaa anaanza kumtafuta jamaa yake wa kitambo aliye mtongoza siku1 dd akabana ww ukamtanua mapaja acha kunjunja bila malengo
 
Kaka kuna mdada kakuzingua nn
Maana naona mapovu yanakutoka
 

Umeongelea Kfc daah umemikumbusha kitu ,,, ngoja kesho Jioni Jioni nimpeleke kfc ......
 

I DARE YOU NITUMIE PM HIO PICHA MKEO, WALA USIWEKE HUMU! HAHAHAHAHAAAAAAAAA! Unatishia kujamba wakati unaharisha. Nai kabeba mimba? Mbona unatuombea heri kabla ya mda wetu? HUYO MKE ULIMKUTA BIKRAAAAAAAA at 28? Mxiuuuuuuuu! Eti alijitunza? Kagua Tigo baba ukute marinda nayo hamna kitu.

Zari si role model wangu, role model wangu ni Wema Sepetungaaa.

Baba tusutiane jamba jambaaa, nishakuita uje usome nimepost? Si kiranga chako ndo kusoma topic zangu? Tena unikomeeeee na kunifull stop kabisaaa, cancellor mkeo anae kucancell usiku usamehe mechi.

KUMBE UNAJUA MWANAUME ASIE NA PESA MZEEE, TENA BABU, SANTEEEEEEEEEEEEEEEEEE, UMETISHA KWA HILO POINT.
 
Umeongelea Kfc daah umemikumbusha kitu ,,, ngoja kesho Jioni Jioni nimpeleke kfc ......
Hahahahahaaaaa! Haya ndo manenoooo, manake ile dining table ndani kwenu ingekuwa na mdomo ingekuimbia taarabu. All the best mkuu.
 
Tunachangia vizuriii, na tutamnyoosha mtoa mada na wanaume wote vikopo vya chooni afu mnachonga chonga badala ya kujifunza kwa Dimond mnangaa sharubu tu.
lara1 Wewe ni mpuuzi kweli, kuninyoosha mimi uwe na point za kusimamia na siyo matusi, otherwise hili jiwe litakupiga hadi jichoni uwe kipofu, na mimi nilijua tu ulivyo shambenga hii topic imekushika pabaya, huyo Diamond wako huyo, utaona kama atadumu Na Zari hiyo ni ndoa ya Subiani na maimuna, a marriage of the demons, it cannot endure.
Huna point utaninyoosha wapi?
 

Hahahaaaa! We tumia tu huo ujanja wa kizamani uje utahamaki umejila TIGO la maisha mwenyeweee. Ooooooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…