Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Wanaokuja huko mbugani ni kina nani? Nonsense.
Haiwezi kuwa strong crique! Mapato yanayotokana na utalii brazil ni karibia trillion 205 kwa mwaka. Tanzania hata trillion 6 hazijafika ukizingatia ndyo nchi ya pili duniani kwa vivutio asilia ikitanguliwa na Brazil yenyewe.

Hapo utasemaje? Royal Tour ilikuwa ndo major solution? Nonsense.
 
Vijana inabidi mjitahidi kuijua nchi yenu ilipitaje pitaje. Alichosema mtoa mada ni sahihi kabisa. Nchi ilikuwa imekwisha Hadi Nyerere anaondoka na infact, ndio sababu akaondoka maana sera zake na uchumi wake ulifeli miserably. Na ukitaka kuthibitisha hilo, ni paper iliyowasilishwa Bungeni na Mzee Marehemu Amir Jamal mwaka 1985 (Economic Recovery Program). Unadhani kwanini ilibidi mpaka pawepo na mpango wa kunusuru/kuokoa uchumi? Ni kwasababu uchumi ulikufa kabisa. Nchi haikuwa na uwezo wa kuzalisha wala kuagiza bidhaa nje. Uzalishaji wa kilimo ulififia kabisaa. Uzalishaji wa viwandani ulishaanza kufa ikiwa ni impacts ya kuwanyang'anya (nationalization) viwanda wahindi waliokuwa wanaviendesha na kuchukuliwa na serikali ambayo haikuwa na uwezo wa kuviendesha. Lakini pia alikuwa akifanya sera za ubabe kuuzuia vipuri kutoka nje na badala yake kulazimisha vitengengenzwe ndani huku kuliwa hakuna uwezo. Mtabisha sana watanzania lakini huo ndio ukweli. Nyerere alifanikiwa kwenye kuwaunganisha watanzania na kuwajengea Elimu ya uoga lakini kwenye uchumi, ndio chanzo cha matatizo yote haya.

Kwa kuwa uchumi ulikufa kabisa, hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaangukia WB, IMF na baadhi ya nchi za kiulaya Ili kutoa support (hususan ya kuweza kuagiza bidhaa kwa ajili ya matumizi ya ndani). Unasema Mwinyi alimuachia nchi Mkapa eti haikopesheki, Nyerere alimuachia nchi Mwinyi sio haikopesheki tu, bali haina chakula, haina nguo, haina bidhaa hata chumvi na sukari na mbaya kuliko yote, hata maelewano na hayo mataifa makubwa hayakuwa mazuri. Kwa kipindi cha miaka mifano hadi anaondoka alishindwa kukamilisha majadiliano ya msaada kutoka kwa hao mabeberu.

Tafuta Economic Recovery Program paper (kama ipo online) uisome, hope kama ni mwenye kufikiri utapata kitu kidogo.

Umenipa shule kubwa na nzuri
Nashukuru
 
Hii Economic Recovery program umenikumbusha marehemu Profesa Kighoma Malima.
 
Hawa wakolomije wanadhani Tanzania ilianzia na malaika wa Chato. Kufoka foka na roho mbaya kwa watu wao wanaona ndio uongozi.
Lakini wakulaumiwa ni Tiss kwa kuacha Mrundi mwenye matatizo ya akili atawale Watanzania wenye akili timamu.
 
Azindulie Royal Tour Ngorongoro? Ili pofu na nyumbu waitazame??

Shida ya WAPINZANI wa Samia wanajifanya wanajuwa kila kitu. Film production ni profession ambayo watu wanasomea.

Unaongela mfumuko wa bei!! Hizo ni market dynamics ambazo mpaka uwe mbobezi wa uchumi ndiyo utaelewa, siyo kila kitu mtu wa La 7b unaweza kuchangia
Mpuuzi wewe na usomi wako wa kijinga sijui hata una nini? kwa hiyo Marekani ndiyo kuna Ngorongoro?
 
Mithali 26:4, Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake, usije kuwa sawa naye...

Wanaokwenda Ngorongoro wako Marekani na Nchi zingine za Ulaya, Japan na China
 
Mkuu furaha ya maisha hayo ni ya kijinga
Huwezi sema watu wanafurahia kupewa zamu za kununua sukari, watu wanafuraha wakati wanavaa nguo zenye viraka kwenye kiraka chenye kiraka? Hamna aiseee hio haikuwa furaha bali ni propaganda za JKN tu
kama huwezi kutofautisha furaha inayoletwa kutokana na material/physical things, na furaha inayoletwa kutokana na kuwa na amani moyoni na kuwa huru kutotishwa na chochote,...basi wewe ni mpumbavu.

tumekuwa na kila kitu enzi za jpm kwa mfano, watu hawakuwa na furaha na walijaa woga, hata humu jf watu walipunguza kuchangia kutoa mawazo yao.
 
Wanaoishi na propaganda za Magufuli ni wapumbavu wachache wasiojielewa, yani mazezeta fulani hivi, watu wenye akili timamu tupo na mama na tunamuelewa.
Mnaelewa na wahuni wanajichotea rasilimali za nchi kama zao!!
Nyie ndo mliongwa vinguo na wakoloni mkawapa pembe za ndovu!
 
Nyama ya ng'ombe nayo inatoka Urusi? alzeti Singida imekuwa Urusi?
Vyote hivyo vinatumia usafiri,kutoka sehemu viliko,kukufikia wewe mlaji.Usafiri unatumia mafuta diesel au petrol,spea,oil,mafuta ya breki,matairi,battery ,vyote vimepanda bei.Na nauli ya usafirishaji,imepanda.
 
Ujinga mtupu. Kama tunashindwa kudhibiti mfumuko wa bei za vitu, kwenda USA ndo kutatua matatizo ya Watanzania?
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Filamu ya bilion 7 ulitaka ikazinduliwe Tandale

Tandale kuna watalii wangapi?

Huko alikokwenda kuzindua filamu ndiko waliko wateja wakubwa wa utalii hapa nchini na ndiyo kitovu cha biashara ulimwenguni

Ile siyo filamu ya msyuka
 
Mpuuzi wewe ujenge nyumba Tandale ukazindulie Masaki?
 
Vyote hivyo vinatumia usafiri,kutoka sehemu viliko,kukufikia wewe mlaji.Usafiri unatumia mafuta diesel au petrol,spea,oil,mafuta ya breki,matairi,battery ,vyote vimepanda bei.Na nauli ya usafirishaji,imepanda.
Ng'ombe inafugwa Monduli inasafiri kwenda wapi?
 
Back
Top Bottom