Huu mfano hauendeni kabisa na mada tajwaHakuna kitu kama hicho, ujenge nyumba Arusha ukazindulie Dubai?
We Bashite utaelewa nini?Huu mfano hauendeni kabisa na mada tajwa
Tanzania hamna mtalii tuna wanachinga tuRubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Dah, nyie watu chuki zitawamaliza.......buzz anaijua nani hadinwazindulie huko? Kule ndo dunia iliko, ndiko taarifa zote zitaifikia dunia.Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye
NadhaniBebe42354035 said:Habari za wakati huu ndugu watanzania

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Unakosea sana tena sana. Hakuna anayetilia shaka utendaji mzuri wa Mama Samia hata kidogo. Kilichopo ambacho ni chq hasira ni yeye kwanza kutoa kauli zenye viashiria vya kushangilia kifo cha mtangulizi wake. Pili kuonesha wazi wazi kukubaliana na kundi ambalo kila mtanzania anajua ni la wapigaji.Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Kabisa na hilo ndilo lina mrudisha nyuma Mama yetu. Otherwise Mama yupo vizuri sana tena watanzania walipenda mno ila alishajichanganyaRubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Afadhali. Umekiri ukweli.Hizo hazihusiani na akili au kufikiri
Magufuli alikuwa na PhD lakini alikuwa akichanganya r na l
Mkuu hapa unadhihirisha ujinga wako, Sina maana ya kupongeza utawala wa Raisi Samia Suluhu la hasha! isipokuwaRubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
'Nyie' bia mpya? Inatoa mapovu?Hahahahahahahahahahaha.......
Nyie mtokwe na povu,lakin ndivyo ilivyo..
Dadake, unadhani katiba pekee itatukomboa? Je, masses tunaelewa tunachokitaka kwenye katiba mpya zaidi ya uchaguzi guru? Je wananchi wenzangu na mimi ni kwa kiwango gani wanaweza kuwa na uhakika na hizi ngoma za wanasiasa wanaotaka kuingia Ikulu kupitia mgongo wa katiba mpya bila kutuelimisha ni nini hasa tunahitaji kwenye katiba mpya?Aruhusu Katiba Mpya, kungekua na mfumo imara wa utawala wala asingepata mateso.
Mnaongozwa na bwana kikweteKwani hii nchi tunaongozwa na nani?
A. Mtu mmoja anayeitwa Rais?
B. Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mwenyekiti wake ni Rais
C. Baraza la Mawaziri ambalo mwenyekito wake ni Rais
D. Baraza la Usalama wa Taifa ambalo mwenyekiti wake ni Rais?
Tunaongozwa na nani?
Hawezi. Kikwete anapambana na uzee wake. Na hapendi stress. Sasa JK aanze kuhangaika na sisi ya nini?Mnaongozwa na bwana kikwete
Aruhusu Katiba Mpya, kungekua na mfumo imara wa utawala wala asingepata mateso.
Hawezi kukuelewa huyu jamaa, muache aamini anachoona ni sahihi kwake.Dah, nyie watu chuki zitawamaliza.......buzz anaijua nani hadinwazindulie huko? Kule ndo dunia iliko, ndiko taarifa zote zitaifikia dunia.
Kabla ya kwenda kwa hao watu 100, tuanzie kwako mkuu, tupe sababu tano tuNenda kwa watu 100 waulize kati ya Nyerere na Mwinyi nani raisi bora? I bet >90% watasema nyerere ni bora. Ila njoo kwenye facts ndo utajua Mwinyi is way ahead of Nyerere ila shida Mwinyi haku entertain propaganda kama Nyerere
Vibaraka wa kumchafua mwamba JPM wamepita kimya kimya hapa kama Vibaka kwa kuona aibu nakati huwa wanamchafua kuwa huwa ana chuki na matajiri, sasa huyo si tajiri [emoji848]Alikuwa anathubutu huyu anachochea then anakimbilia Marekani