Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Alitawala miaka 24 Mzee baba, na watu walikuwa wakipanga foleni kupata unga
Angeendelea kidogo ingekuwa ni mapinduzi
Akili ndogo sana hii, hao watu walikuwa wakitibiwa bure, wakisoma bure, hawakubaguliwa watoto wa viongozi na makapuku walisoma shule moja, hakuandaa wanae kuja kuwa marais hata kama hawana akili kama alivyofanya Mwinyi n.k
 
Mimi ni Mkristo, lakini ni ukweli ulio wazi anapokuwa Rais Mkristo nchi hii watu wanakuwa na dhiki tofauti kabisa na waislamu watatu waliopata nafasi hii.

Bahati nzuri namshukuru Mungu awamu zote 6 nimeziona kwa macho niki na akili timamu hanidanganyi mtu kitu, wakristo ni makatili na wana roho mbaya tofauti na tunavyowaflame waislamu kama ni watu wabaya sana.

Shida kubwa ya waislamu wanataka haki na wanapinga dhulma ndio sababu watu wote waliolewa mvinyo wa paroko hawezi kuwaelewa waislamu.

Mimi ni mkristo nayashuhudia haya.
Hii ndio propaganda ya kijinga sana sasa!
 
Hawa ni walewaleeee
Wanawapima viongozi kwa macho ya udini! Tunawajua vizuuri

Sio lazima uniamini ila mkuu mimi ni mtu wa RC safi kabisa kwa kuzaliwa na kubatizwa pia, Na hii mada sijaiangalia kwa jicho la udini kwa sababu kwangu mm dini ni kitu ambacho huwa siangalii kabisa ninapojudge mtu (na ndo mana huwa nadate na waislam pia[emoji23][emoji23])
 
Akili ndogo sana hii, hao watu walikuwa wakitibiwa bure, wakisoma bure, hawakubaguliwa watoto wa viongozi na makapuku walisoma shule moja, hakuandaa wanae kuja kuwa marais hata kama hawana akili kama alivyofanya Mwinyi n.k

Hivi mkuu baba yako akiwa raisi inakuwa sin kwa wewe kutaka kuja kuwa raisi? Watoto wa Nyerere hawakuwa vizuri hata ukiwasikiliza leo bado hawana uwezo mkubwa wa kujenga hoja so sidhani kama walifaa au wanafaa kuwa maraisi.
Ila kwa Hussein Mwinyi uongo mbaya kijana anapiga kazi na anajua jinsi ya kujenga hoja
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
kwa hiyo azindue Tanzania kwamba watalii watatoka Tanzania?
Acha bhangi basi
 
Kama Nyerere asingeng'atuka angepinduliwa maana watu walishamchoka. Alikuwa hana jinsi. Na Sokoine ambaye alitarajiwa kumrithi Nyerere na kuendeleza sera za Nyerere naye akafa kwa kifo ambacho wengi waliamini ni foul play au deep state imeingiza mkono ili kuliokoa taifa. Yaani Nyerere alichokwa na yule aliyetarajiwa kuendeleza sera zake naye akaondoka.
Angalieni ujinga mwingine huu!
Mmeshindwa kuipindua CCM pamoja na kushindwa kabisa kulipeleka taifa hili mbele mngemuweza Mwalimu?

Nani alichoka?
Mie nilikuwepo akiondoka madarakani watu walikuwa wanamlilia, alipendwa sana! Hata baadaya kustaafu ikuwa akienda mahali watanzania wanajaa kwenda kumsikiliza.

Waliotaka kumpindua ndio hao waliokuja kuigeuza nchi pango la wala rushwa na ufalme wa kurithisha watoto wao urais!
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
Hivi haya unayoandika umesimuliwa, umesoma kwenye history au umeyaishi. Kumlinganisha Nyerere na Mwinyi ni sawa na kulinganisha maji na mafuta (I am sorry for such language but I couldn't find a better word).

Hizo sifa unazozitoa siyo entirely the whole truth. Nchi ilianza kufunguka mara tu baada ya Sokoine kufa na Salimu kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu. Ndiyo maana Salimu alipendwa sana na watu kwa ule muda mfupi aliokuwapo madarakani kama Waziri Mkuu. Kwa ujumla wakati Mwinyi anaingia madarakani kwa bahati ya mtende Tanzania tayari ilishakubaliana na Mabeberu kufanya Economic adjustment .... Mengine ni history!!
 
Hivi mkuu baba yako akiwa raisi inakuwa sin kwa wewe kutaka kuja kuwa raisi? Watoto wa Nyerere hawakuwa vizuri hata ukiwasikiliza leo bado hawana uwezo mkubwa wa kujenga hoja so sidhani kama walifaa au wanafaa kuwa maraisi.
Ila kwa Hussein Mwinyi uongo mbaya kijana anapiga kazi na anajua jinsi ya kujenga hoja
Hivi wewe uliwahi kumsikia Hussein Mwinyi akijenga hoja yeyote kabla hajawa rais?
Ni kiazi balaa, alijificha kwenye kivuli cha ukimya!

Twende kwa Riz1, wewe kweli unaona anaakili nyingi?
 
Sio lazima uniamini ila mkuu mimi ni mtu wa RC safi kabisa kwa kuzaliwa na kubatizwa pia, Na hii mada sijaiangalia kwa jicho la udini kwa sababu kwangu mm dini ni kitu ambacho huwa siangalii kabisa ninapojudge mtu (na ndo mana huwa nadate na waislam pia[emoji23][emoji23])
Huwa mnazuga tu humu ili kujihalalisha! Na mie ustaadhi kabisa ujue[emoji3][emoji3]
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
SSH ni dhaifu.Anaharibu nchi.
 
Njoo kwenye facts mkuu usitukane tu
Katika uchumi Nyerere aliifanya nn hii nchi ?
Njoo kwenye system ya utawala? Je Nyerere alitoa uhuru wa kisiasa? Alitoa uhuru wa kutoa maoni? Mwinyi je ?
Uhusiano wa kimataifa na nchi zinazojielewa
Nyerere alifanya nin kwenye hili? Mwinyi je?
Njoo kwenye kutengeneza vitu vya msingi
Maazimio ya Nyerere yote ni useless lakin Mwinyi alilay foundation kubwa sana kwenye hii nchi inayoenda hadi leo
TRA et al zote hizo ni kazi za mwinyi
Rubbish
 
Mkuu hata upoge siasa gani ila hakuna kiumbe chenye akili timamu kinafurahia yale maisha ya kununua sukari kwa zamu, kuvaa nguo za viraka sio kwa sababu huna hela ila hizo nguo zenyewe hazipo.
Mama yangu ana kisa kimoja kuwa bibi yetu alishawahi toa hongo ili aweze nunua kitenge ili hali sio zamu yake kununua nguo (watu walinunua nguo kwa zamu) deal likagindulika basi unaambiwa mtaa mzima kilinuka kisa kitenge. Sasa utasema mtu mwenye akili timamu atafurahia haya maisha
wewe unasimuliwa. mwaka 1980 mimi niliandikishwa kupata sukari kilo moja na nikalipia. lakini siku ya mgao nikapewa bakuli la alaf na pakti ya majani ya chai tu, nikaambiwa sukari mgao wangu ni baada ya miezi mitatu.

Nilichomaanisha ni furaha ya ndani peace of mind siyo kufurahia maisha. Wakati huu hasa wakati wa magu peace of mind haikuwako mioyoni mwa watu. unaweza ukabisha kadri uwezavyo
 
Mkuu sio madikteta wote hufeli
Stalin alikuwa dikteta ila hakupinduliwa
Mao wa china nae hakupinduliwa
Kuna kina Paul biya wa cameroon [emoji1062]
Kina Nyerere wenyewe unaona
Kuna kina Kagame wanatawala kwa mkono wa Chuma Lakini hakuna wa kuwatoa
Ukikaa vizuri hakuna anaekutoa kwenye kiti hao uliowataja utaona wote walikosana na namba chafu ( USA [emoji631] au UK [emoji636])
Hujui hata unachotetea! Tuliza akili fikiria alichoandoka unayemjibu
 
Akili ndogo sana hii, hao watu walikuwa wakitibiwa bure, wakisoma bure, hawakubaguliwa watoto wa viongozi na makapuku walisoma shule moja, hakuandaa wanae kuja kuwa marais hata kama hawana akili kama alivyofanya Mwinyi n.k

Njaa ilikuwa kali hata kununua sukari mchele, ilikuwa shida, hiyo ya kugawa bure unafiki ilikuwa ni kiasi gani? Tumia akili tu kidogo
 
Angalieni ujinga mwingine huu!
Mmeshindwa kuipindua CCM pamoja na kushindwa kabisa kulipeleka taifa hili mbele mngemuweza Mwalimu?

Nani alichoka?
Mie nilikuwepo akiondoka madarakani watu walikuwa wanamlilia, alipendwa sana! Hata baadaya kustaafu ikuwa akienda mahali watanzania wanajaa kwenda kumsikiliza.

Waliotaka kumpindua ndio hao waliokuja kuigeuza nchi pango la wala rushwa na ufalme wa kurithisha watoto wao urais!

Kama walimuweza Sokoine ambaye alitarajiwa kumrithi Nyerere urais, kwa nini wasingemuweza Nyerere mwenyewe?
 
Back
Top Bottom