Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Sasa kwanini kama amefungua nchi na kuruhusu kufanyika biashara(ikiwa una maana wenye nguo za viraka wanapata au walipata hafueni) kunasaidia wanyonge, halafu hapa chini....
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu
Waje wambeze kwa umahiri wake wa hayo ya kufungua, kufanya biashara n.k...
(hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka
mmmh?
propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Uzandiki wa hali ya juu!
Haijawahi kutokea
Kawainue hao uliowataja wana viraka, tuone kama kweli wewe sio 'dhulmat' halafu ndio tuone kama unauwezo bwa kununua JF.
Haya mtetea wanyonge, umesikika.
 
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Hiyo kuinunua Jf ni kama hongo ili upate uchangiaji positive au ili isiendelee kukukosoa au lengo ni lipi.Ila utawala wa Mwinyi,Kikwete na Samia ni ambazo zinakuwa na kufanana katika, mambo yahusuyo haki , democrasia na mtazamo wa kiuchumi unao zingatia uhalisia wa mwendo wa Dunia,licha ya mapungufu yasababishwayo na wale wanaodai Kwa mfano,Mama karuhusu kula kulingana na urefu wa kamba ya mtu.Yote hayo ikiwa ni upotoshaji wa wapigaji wanaojaribu kuhalaliasha uovu wao.
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Sasa kwanini kama amefungua nchi na kuruhusu kufanyika biashara(ikiwa una maana wenye nguo za viraka wanapata au walipata hafueni) kunasaidia wanyonge, halafu hapa chini....
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu
Waje wambeze kwa umahiri wake wa hayo ya kufungua, kufanya biashara n.k... sielewei!
(hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka
mmmh?
propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Na watoto bado wanasoma chini ya miti(irrelevant)
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Ana mapungufu umeyaona?
Kwa umakini wake hizo propaganda ndio asijitahidi? au
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Una hofu ya nini? Keshafungua nchi?
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Uzandiki wa hali ya juu!
Haijawahi kutokea
Kawainue hao uliowataja wana viraka, tuone kama kweli wewe sio 'dhulmat' halafu ndio tuone kama unauwezo bwa kununua JF.
Haya mtetea wanyonge, umesikika.
 
Mkuu mfumuko wa bei ni issue ya dunia nzima kuanzia kwa world factory China [emoji630] hadi huku kwetu Tanzania

Suala la mbuga kutangaziwa USA [emoji631] nadhani hatutakiwi kujadili kama tutakuwa serious na matumizi ya vichwa vyetu

Ahsante kwa kuchangia
Nyama ya ng'ombe nayo inatoka Urusi? alzeti Singida imekuwa Urusi?
 
Huyo magufuri wako anakubalika na wajinga na wenye uwezo mdogo wa kufikili.
Kwa bahat mbaya nchi hii bado ina wajinga wengi....
Kwa uerevu wako, na uwezo wako wa "kufikili" una bahati nzuri kuwa kwenye nchi ya 'Wabongo' vinginevyo nheee!
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Kama shida ni Barabara ipo inayoitwa Ally Hassan Mwinyi (Old Bagamoyo Road). Acha porojo!
Kila kiongozi ana nafasi yake ya kutenda na mafanikio. Udhaifu ni sifa ya binadamu.
 
Halafu Nyerere anavyo vitu vingapi?
 
Mmmh bwashee
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Mhhhh bwashee,hata almasi,dhahabu,gesi vipo hapa nyumbani lakini walaji wapo ulaya na Amerika,lazima tupeleke huko,sie tuna rasilimali tu,madini,mafuta,gesi,mbuga,lakini hatuwezi kuzifanya fedha hapa nyumbani ni mpaka twende tukauze kwa wenye akili ulaya na US
 
Back
Top Bottom