Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,098
Ona wakristo hawa wanatamani kuuwa tu.Peleka huko upuuzi wako mdini wewe

Hawa watu ni wa kupimwa akili, ona walijitowa akili hadi kufikia stage hii.Wanaoenda mbugani ni wanyama kwa hiyo Royal tour ingezinduliwa mbugani.
Ni kazi sana kuwaelewa team Magufuli,
Mwinyi alivyofungua nchi akaacha milango na madirisha wazi ikaingia vumbi jingi sana pamoja na mbu, mijusi na mende ! Mkapa alipokuja akasema yupo na shida ya kusafisha uchafu ulioingia ndani ya nchi kwanza !! Hizi zote ni sawa na hadithi za Alinacha tu !! Bali ukweli ni kwamba kwa mtindo huu tunaoutaka wa kufanya kazi na kula Bata maendeleo ya kweli ya nchi kuyapata ni ndoto za mchana !!Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Sio kumponda, nimekutolea Mfano halisiKama kumponda muheshimiwa Magufuli (RIP) kuna kufanya ujisikie vizuri, we endelea kwa raha zako.
Ila naona hujakanusha ukweli kwamba wewe ni kivuli cha upepo, watu wana pumzika tu mpaka basi. 🤣
Saizi angalau waelewa ni wengi kuliko kipindi kile kilijaa mburula..Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Hakuna Kiongozi wa kuja kuiga uongozi wa hovyo wa Maggufuli, Ni matahira machache tu ndio Bado yapo na fikra za kuwa maggufuli Alikuwa kiongozi mzuri, report ya CAG imetufumbua macho kuwa utawala wa maggufuli ulikuwa wa kifisadi mnoo,Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Yule mzee kipindi Chake chote hakuwai kuajiri Wala kupandisha madalaja watumishi, maggufuli Alikuwa Rais wa hovyo,Saizi angalau waelewa ni wengi kuliko kipindi kile kilijaa mburula..
Hivi kweli mwenye akili timamu anaweza muona Mwendazake alikuwa sahihi kwa kuacha kuajiri,kupuuza kilimo nk kwa visingizio vya tunajenga miradi ambayo hata haikuisha?
Mbona saizi Rais Samia anajenga hiyo miradi ya zamani na mipya tena kwa ufanisi mkubwa na ajira zinaendelea?
Kama Nyerere asingeng'atuka angepinduliwa maana watu walishamchoka. Alikuwa hana jinsi. Na Sokoine ambaye alitarajiwa kumrithi Nyerere na kuendeleza sera za Nyerere naye akafa kwa kifo ambacho wengi waliamini ni foul play au deep state imeingiza mkono ili kuliokoa taifa. Yaani Nyerere alichokwa na yule aliyetarajiwa kuendeleza sera zake naye akaondoka.Ila namshukuru Nyerere alipoona sera zake zimefeli alikuwa ni muungwana akang'atuka na kumuachia Mwinyi ambaye alituondoa kwenye ile dhiki ya kuvaa midabwada.
Pamoja na sera zake kufeli lakini alikuwa ni best President ever, na ndio chachu ya kutuletea uhuru, hili hakuna wa kulifuta na atabaki kuwa baba wa Taifa.
Lakini pia tuulize kabla ya kucheka; Kwani mama anateseka?Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Ila namshukuru Nyerere alipoona sera zake zimefeli alikuwa ni muungwana akang'atuka na kumuachia Mwinyi ambaye alituondoa kwenye ile dhiki ya kuvaa midabwada.
Pamoja na sera zake kufeli lakini alikuwa ni best President ever, na ndio chachu ya kutuletea uhuru, hili hakuna wa kulifuta na atabaki kuwa baba wa Taifa.
Nakubaliana na wewe hapa.Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Basi angalau tungewabana wawe wanalipa kodi inayostahili huko kwenye migodi waliyopewa ! Kagame anasema ni ajabu kwa baadhi ya nchi kutoa misamaha ya kodi kwenye migodi inayomilikiwa na Hao Hao ambao kila Mara tunaongozana Kwenda kwao na mabakuli yetu ya kuombea misaada !!Africa tunakwama wapi??!!!Mmmh bwashee
Mhhhh bwashee,hata almasi,dhahabu,gesi vipo hapa nyumbani lakini walaji wapo ulaya na Amerika,lazima tupeleke huko,sie tuna rasilimali tu,madini,mafuta,gesi,mbuga,lakini hatuwezi kuzifanya fedha hapa nyumbani ni mpaka twende tukauze kwa wenye akili ulaya na US
Basi angalau tungewabana wawe wanalipa kodi inayostahili huko kwenye migodi waliyopewa ! Kagame anasema ni ajabu kwa baadhi ya nchi kutoa misamaha ya kodi kwenye migodi inayomilikiwa na Hao Hao ambao kila Mara tunaongozana Kwenda kwao na mabakuli yetu ya kuombea misaada !!Africa tunakwama wapi ??!!!Mmmh bwashee
Mhhhh bwashee,hata almasi,dhahabu,gesi vipo hapa nyumbani lakini walaji wapo ulaya na Amerika,lazima tupeleke huko,sie tuna rasilimali tu,madini,mafuta,gesi,mbuga,lakini hatuwezi kuzifanya fedha hapa nyumbani ni mpaka twende tukauze kwa wenye akili ulaya na US
Yaani, ulitaka Royal Tour izinduliwe 'Kwa Mtogole'?Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Chawa kazini.Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Duuh kweli binadamu hawakosi la kusema, yaani Babu Nyerere kutokua na uroho wa madaraka( power monger) hii Leo anaonekana nchi ilimshinda hivyo akaona ambwagie Mwinyi? Mkuu Dunia nzima inafahamu kuwa Nyerere ni Kiongozi Bora kuwahi kutokea Africa na Dunia kwa Ujumla.
andishi la kijinga. ungeishi enzi za nyerere ukapanga foleni kwenye duka la ushirika ukisubiri ununue sukari kwa mgao kisha ukakabidhiwa bakuli la bati la ALAF, lakini bado watu tulikuwa na furaha usingelinganisha na enzi za jpm ambapo ijapokuwa kila kitu kipo bado watu walikuwa na huzuni na woga wakihofia uhai wao.