Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
SSH ni mtoto wa mwinyi, wanafanana kwa kutokuwa na msimamo. Mwinyi aliitwa mzee ruksa kwa sababu hiyo,na huyu binti yake ni rais lakini hajui anapoenda na kuipeleka nchi. Ana misukumo ya kimapenzi na inamuyumbisha.
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Mbuga ziko Tanzania wanaokuja kutalii wako wapi ndugu. Au ulitaka awalenge Tanzania kwenye hiyo royal tour. SIJUI BWANA unavyofikiri.
 
Bahati mbaya hutumii Jina lako halisi. Ungekuwa unatumia jina lako halisi ungepewa Wilaya. Nijibu kuhusu haya maswali nitayokuuliza.

1. Unampongeza kwa lipi SSH kwa tatizo hili la mfumuko wa bei?
2. Unasemeaje uteuzi wa Makamba
3. Unasemeaje kurudi kwa Kinana?
4. Unasemje kuhusu kutumbuliwa Kabudi na mzee wa wizara ya ardhi?
5. Vipi kuhusu uteuzi wa Nape?

Nijibu kwanza hayo nitarudi kwako baadae.
 
Wewe ni mpumbavu kuwahi kutokea. Pengine umetawaliwa na udini. Unamsifia Mwinyi aliifungua nchi,wakati mpaka Mwinyi anaondoka nchi haikopesheki,Mkapa alichukua maamuzi magumu ya kulipa madeni, mpaka tukaaminika.
Mkapa amejenga msingi wa uchumi kupitia Gavana Dr. Daud Balali.
Na wataalam wa uchumi wanakuambia Kikwete alitengenezewa plan ya kuukuza uchumi kuwa mkubwa mno kama isingekuwa mtandao wake uliomgharimu kupitia Epa na kondoo w kafara akawa Gavana Balali.
Huwezi kumlinganisha Mwinyi na Nyerere ni sawa na kilinganisha mlima Kilimanjaro na kichuguu kama alivyowahi kukiri Mwinyi mwenyewe.
Alichofanya Mwinyi ni kuturudisha kuwa taifa tegemezi kwa kushindwa kuvisaidia viwanda vingi vilivyojengwa na Mwalimu Nyerere.
Mpaka Mwalimu anang'atuka kiwanda Cha Saab Scania kilichoko Kibaha kilikuwa kina kiwango sawa na kiwanda kama hicho Brazil. Leo Brazil anaunda scania kwa 95% na hiyo 5% ndio anaagiza Sweden.
Kumbuka Mwalimu aliacha kiwanda cha matairi Arusha General Tyre leo kiko wapi. Kuna matairi yanatengenezwa Tanzania?
Hao kina Samia, Mkapa,Kikwete na kina Magufuli Nyerere kawasomesha bure mpaka chuo kikuu.
Namuunga Mkono Askofu Gwajima aliyesema tuwe na maono ya kitaifa.
Kama marais wote waliopita wangehakikisha viwanda na mipango ya awamu ya kwanza ni ajenda yao,Leo bwawa la Nyerere lingekuwa linazalisha umeme wa uhakika.
Great Thinker [emoji106]
 
Wajinga bado wanaishi zile propaganda za kijinga za jiwe
*Tunajenga kwa fedha zetu za ndani (Wakati anakopa kisirisiri- ndo rais anayeongoza kwa kukopa japo ametawala kwa miaka 5 tu)
*Nchi hii ni donor country ( wakati ni ombaomba wa kutupa)
*Hakuna corona (eti alipima mapapai akakuta yana corona)
*Tunawadai Acacia Trillion 400, wakilipa kila mtanzania atapata gari aina ya Noah ( Kuna wajinga wakaanza kuchagua hadi rangi za gari)
* Nimepiga marufuku makinikia kusafirishwa nje ( wakati yale makontena pale bandarini baada ya wazungu kupiga mkwara akawa anayaruhusu kama kawaida)
Kila kitu fix tu...mtu muongo sana yule
 
SSH ni mtoto wa mwinyi, wanafanana kwa kutokuwa na msimamo. Mwinyi aliitwa mzee ruksa kwa sababu hiyo,na huyu binti yake ni rais lakini hajui anapoenda na kuipeleka nchi. Ana misukumo ya kimapenzi na inamuyumbisha.

Mwinyi hakuitwa mzee rukhsa kisa hio
Kasome historia vizuri
 
Wewe ni mpumbavu kuwahi kutokea. Pengine umetawaliwa na udini. Unamsifia Mwinyi aliifungua nchi,wakati mpaka Mwinyi anaondoka nchi haikopesheki,Mkapa alichukua maamuzi magumu ya kulipa madeni, mpaka tukaaminika.
Mkapa amejenga msingi wa uchumi kupitia Gavana Dr. Daud Balali.
Na wataalam wa uchumi wanakuambia Kikwete alitengenezewa plan ya kuukuza uchumi kuwa mkubwa mno kama isingekuwa mtandao wake uliomgharimu kupitia Epa na kondoo w kafara akawa Gavana Balali.
Huwezi kumlinganisha Mwinyi na Nyerere ni sawa na kilinganisha mlima Kilimanjaro na kichuguu kama alivyowahi kukiri Mwinyi mwenyewe.
Alichofanya Mwinyi ni kuturudisha kuwa taifa tegemezi kwa kushindwa kuvisaidia viwanda vingi vilivyojengwa na Mwalimu Nyerere.
Mpaka Mwalimu anang'atuka kiwanda Cha Saab Scania kilichoko Kibaha kilikuwa kina kiwango sawa na kiwanda kama hicho Brazil. Leo Brazil anaunda scania kwa 95% na hiyo 5% ndio anaagiza Sweden.
Kumbuka Mwalimu aliacha kiwanda cha matairi Arusha General Tyre leo kiko wapi. Kuna matairi yanatengenezwa Tanzania?
Hao kina Samia, Mkapa,Kikwete na kina Magufuli Nyerere kawasomesha bure mpaka chuo kikuu.
Namuunga Mkono Askofu Gwajima aliyesema tuwe na maono ya kitaifa.
Kama marais wote waliopita wangehakikisha viwanda na mipango ya awamu ya kwanza ni ajenda yao,Leo bwawa la Nyerere lingekuwa linazalisha umeme wa uhakika.
Vijana inabidi mjitahidi kuijua nchi yenu ilipitaje pitaje. Alichosema mtoa mada ni sahihi kabisa. Nchi ilikuwa imekwisha Hadi Nyerere anaondoka na infact, ndio sababu akaondoka maana sera zake na uchumi wake ulifeli miserably. Na ukitaka kuthibitisha hilo, ni paper iliyowasilishwa Bungeni na Mzee Marehemu Amir Jamal mwaka 1985 (Economic Recovery Program). Unadhani kwanini ilibidi mpaka pawepo na mpango wa kunusuru/kuokoa uchumi? Ni kwasababu uchumi ulikufa kabisa. Nchi haikuwa na uwezo wa kuzalisha wala kuagiza bidhaa nje. Uzalishaji wa kilimo ulififia kabisaa. Uzalishaji wa viwandani ulishaanza kufa ikiwa ni impacts ya kuwanyang'anya (nationalization) viwanda wahindi waliokuwa wanaviendesha na kuchukuliwa na serikali ambayo haikuwa na uwezo wa kuviendesha. Lakini pia alikuwa akifanya sera za ubabe kuuzuia vipuri kutoka nje na badala yake kulazimisha vitengengenzwe ndani huku kuliwa hakuna uwezo. Mtabisha sana watanzania lakini huo ndio ukweli. Nyerere alifanikiwa kwenye kuwaunganisha watanzania na kuwajengea Elimu ya uoga lakini kwenye uchumi, ndio chanzo cha matatizo yote haya.

Kwa kuwa uchumi ulikufa kabisa, hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaangukia WB, IMF na baadhi ya nchi za kiulaya Ili kutoa support (hususan ya kuweza kuagiza bidhaa kwa ajili ya matumizi ya ndani). Unasema Mwinyi alimuachia nchi Mkapa eti haikopesheki, Nyerere alimuachia nchi Mwinyi sio haikopesheki tu, bali haina chakula, haina nguo, haina bidhaa hata chumvi na sukari na mbaya kuliko yote, hata maelewano na hayo mataifa makubwa hayakuwa mazuri. Kwa kipindi cha miaka mifano hadi anaondoka alishindwa kukamilisha majadiliano ya msaada kutoka kwa hao mabeberu.

Tafuta Economic Recovery Program paper (kama ipo online) uisome, hope kama ni mwenye kufikiri utapata kitu kidogo.
 
Mama bana anaupiga mwingi sana yana anatukera ile mbaya na kashajua hawa wanangu bila kuwakera hawakai sawa😂😂😂😂😂
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
We haya mambo umeyatoa wapi? Mbona unapotosha umma?

Hakika hii nchi haitaisha wapumbavu.
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Azindulie Royal Tour Ngorongoro? Ili pofu na nyumbu waitazame??

Shida ya WAPINZANI wa Samia wanajifanya wanajuwa kila kitu. Film production ni profession ambayo watu wanasomea.

Unaongela mfumuko wa bei!! Hizo ni market dynamics ambazo mpaka uwe mbobezi wa uchumi ndiyo utaelewa, siyo kila kitu mtu wa La 7b unaweza kuchangia
 
Wanaoishi na propaganda za Magufuli ni wapumbavu wachache wasiojielewa, yani mazezeta fulani hivi, watu wenye akili timamu tupo na mama na tunamuelewa.
Watu wenye akili timamu wenye kusema uchumi umeshuka kwa mpango wa MUNGU.

[emoji23][emoji23][emoji23] shida ya upumbavu ni ukomavu wake(uraibu) hayaaa ngoja tuone wenye akili watakapo tupeleka.
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?

Don't underestimate ordinary citizens' feeling about JPM. People adore him. Mwenye macho haambiwi ona. Na mwenye masikio atasikia. Mama Samia aachane na siasa za kumnanga JPM. Ajikite katika kujenga legacy yake bila kuonyesha kwamba JPM alikuwa ni tatizo. Tukumbuke, yapo mambo yaliyo katika uwezo wetu. Na mengine, hata tufanyaje yapo juu ya uwezo wetu. Cha mno kuyahangaikia mambo yanayotuzidi nini?
Muda mwalimu mzuri. Utaongea loud and clear

Back
Top Bottom