Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
Hao ni binti na babaye lazima wafanane.
 
Unaposema kufungua nchi siwaelewi kabisa kama nchi ilikuwa imefungwa maendeleo yote aliyoleta JPM yalitoka wapi? Sasa leo kuna jiwe linauzwa Dubai hata serikali ilikuwa haijui imesoma kupitia mtandao wa jamii na kuna balozi kule Dubai naye hajui kinachoendelea yale madege makubwa ya Arabuni yanayochukua wanyama wazima yamerudi
 
Baadhi ya watanzania wapo kwenye lindi kubwa la ujinga.

Ukitaka kuamini pitia comments za watu Facebook utajua kwa kiasi gani majority bado wapo kwenye kiza.

Wanasiasa nanatumia mwanya huo kujinufaisha wao na familia zao. Shame on you politicians
 
Unaposema kufungua nchi siwaelewi kabisa kama nchi ilikuwa imefungwa maendeleo yote aliyoleta JPM yalitoka wapi? Sasa leo kuna jiwe linauzwa Dubai hata serikali ilikuwa haijui imesoma kupitia mtandao wa jamii na kuna balozi kule Dubai naye hajui kinachoendelea yale madege makubwa ya Arabuni yanayochukua wanyama wazima yamerudi
Wewe ndio hamnazo, lile jiwe limeondoka Tanzania wakati mungu wenu wa Chato akiwa Rais. Tunakoelekea tutalazimika kufukuwa maiti yake tuanze uchunguzi wa sample ya kichaa chake.
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
Marais waislam wanayo hulka ya kibinadamu sana. Watu wanashangaa namna CAG anavyoanika madudu kila kukicha, marais waislam wanaachia jamii iwe huru watu wapate ukweli wa mambo.

Hawajifanyi kama wale wacheza sinema nguli wa Hollywood wanautambua ubinadamu walionao na ule wa wanaowaongoza. Hawana makuu kama marais wakristo (wakatoliki wenzangu) walivyo na urais wao unavyojaa zile nia za kutaka kuibadilisha dunia wakati wanaondoka na kuacha kila kitu hapa hapa juu ya ardhi.
 
Sasa kwanini kama amefungua nchi na kuruhusu kufanyika biashara(ikiwa una maana wenye nguo za viraka wanapata au walipata hafueni) kunasaidia wanyonge, halafu hapa chini....

Waje wambeze kwa umahiri wake wa hayo ya kufungua, kufanya biashara n.k...

mmmh?

Uzandiki wa hali ya juu!
Haijawahi kutokea
Kawainue hao uliowataja wana viraka, tuone kama kweli wewe sio 'dhulmat' halafu ndio tuone kama unauwezo bwa kununua JF.
Haya mtetea wanyonge, umesikika.
Marais waislam hawana nongwa katika uongozi wao. Huwa na ubinadamu ule ule wa maisha ya kawaida. Hawanaga chuki na kumgeuza kila wanayekutana nae adui yao.

Sio ajabu wanaishi mpaka kukaribia miaka 100 (Mzee Mwinyi).
 
kama huwezi kutofautisha furaha inayoletwa kutokana na material/physical things, na furaha inayoletwa kutokana na kuwa na amani moyoni na kuwa huru kutotishwa na chochote,...basi wewe ni mpumbavu.

tumekuwa na kila kitu enzi za jpm kwa mfano, watu hawakuwa na furaha na walijaa woga, hata humu jf watu walipunguza kuchangia kutoa mawazo yao.

Mkuu hata upoge siasa gani ila hakuna kiumbe chenye akili timamu kinafurahia yale maisha ya kununua sukari kwa zamu, kuvaa nguo za viraka sio kwa sababu huna hela ila hizo nguo zenyewe hazipo.
Mama yangu ana kisa kimoja kuwa bibi yetu alishawahi toa hongo ili aweze nunua kitenge ili hali sio zamu yake kununua nguo (watu walinunua nguo kwa zamu) deal likagindulika basi unaambiwa mtaa mzima kilinuka kisa kitenge. Sasa utasema mtu mwenye akili timamu atafurahia haya maisha
 
Kakulishwa matongotongo wala sio shule!, Ni kwamba Nyerere alikataa ubepari akifuata mlango wa nchi za kicommunist,

Mkuu huo ujamaa ulifeli vibaya hadi nyerere mwenyewe alitoka madarakani. Sasa kuna umuhimu gani wa kuukataa mfumo wa kibepari
 
Unaposema kufungua nchi siwaelewi kabisa kama nchi ilikuwa imefungwa maendeleo yote aliyoleta JPM yalitoka wapi? Sasa leo kuna jiwe linauzwa Dubai hata serikali ilikuwa haijui imesoma kupitia mtandao wa jamii na kuna balozi kule Dubai naye hajui kinachoendelea yale madege makubwa ya Arabuni yanayochukua wanyama wazima yamerudi

Ninyi ndo mnaosema na Nyerere alileta maendeleo Tanzania.
Kwa mfumo aliokuwa anaenda nao JPM it was a matter of time kabla mambo hayajawa worse kabisa
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
Neno propaganda lineishaenea kwenye vijiwe vya kahawa tutakoma sasa!

Kama ni rahisi si mbona ndugu zenu kina Idd Amin, Gaddafi, Sadam Hussein walishindwa kupiga hizo propaganda?!, wakaishiwa kuchukiwa hadi wananchi wao wakaungana na wageni kuwaangamiza
 
Mkuu sio madikteta wote hufeli
Stalin alikuwa dikteta ila hakupinduliwa
Mao wa china nae hakupinduliwa
Kuna kina Paul biya wa cameroon [emoji1062]
Kina Nyerere wenyewe unaona
Kuna kina Kagame wanatawala kwa mkono wa Chuma Lakini hakuna wa kuwatoa
Ukikaa vizuri hakuna anaekutoa kwenye kiti hao uliowataja utaona wote walikosana na namba chafu ( USA [emoji631] au UK [emoji636])
 
Mkuu unadhani kwanin Mwinyi haimbwi kama anavyoimbwa Mkapa na Nyerere?
Jamani mbona mnakuwa kama hamfikirii? Ni suala la historia na uadilifu, mzee Mwinyi alipiga sana nchi hii...kumbuka kashfa ya Loliondo, marushwa makubwamakubwa....
Lkn hata mzee Mwinyi ukisoma kitabu chake mwishoni, kamvulia kofia Nyerere akiwataka watu wote wanaoutaka urais wa nchi hii wajilinganishe na uwezo wa Mwl, he wanafikia hata kiasi?

Mnaongea nini nyie?
 
Nenda kwa watu 100 waulize kati ya Nyerere na Mwinyi nani raisi bora? I bet >90% watasema nyerere ni bora. Ila njoo kwenye facts ndo utajua Mwinyi is way ahead of Nyerere ila shida Mwinyi haku entertain propaganda kama Nyerere
Upumbavu huu!!
Mwinyi mwenyewe ameandika kuwa hakumfikia wala hamfikii Mwalmu!

We unaandika nini? Nyie ndio mnasema Idd Amin alikuwa nabii wenu! Bure kabisa
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Nyie mlizindua Tanzania unforgettable mlipata impact gani zaidi kuwajaza wasanii Kilimanjaro kuwapandisha ndege nk acha mama afanye yake mda ukiisha akae pembeni
 
Jamani mbona mnakuwa kama hamfikirii? Ni suala la historia na uadilifu, mzee Mwinyi alipiga sana nchi hii...kumbuka kashfa ya Loliondo, marushwa makubwamakubwa....
Lkn hata mzee Mwinyi ukisoma kitabu chake mwishoni, kamvulia kofia Nyerere akiwataka watu wote wanaoutaka urais wa nchi hii wajilinganishe na uwezo wa Mwl, he wanafikia hata kiasi?

Mnaongea nini nyie?

Nyerere hakupiga pesa nyingi kwa sababu alikuwa ashaua uchumi wa nchi hata hizo pesa za kupiga hazikuwepo.
Kitu ambacho siwezi pinga kwa Nyerere na JPM ni mapenzi yao kwa hii nchi, hawa jamaa waliipenda hii nchi sana ila ndo hivo mbinu zao za kutawala hazikuwa rafiki kabisa on long run
 
Duuh kweli binadamu hawakosi la kusema, yaani Babu Nyerere kutokua na uroho wa madaraka( power monger) hii Leo anaonekana nchi ilimshinda hivyo akaona ambwagie Mwinyi? Mkuu Dunia nzima inafahamu kuwa Nyerere ni Kiongozi Bora kuwahi kutokea Africa na Dunia kwa Ujumla.
Hawa ni walewaleeee
Wanawapima viongozi kwa macho ya udini! Tunawajua vizuuri
 
Upumbavu huu!!
Mwinyi mwenyewe ameandika kuwa hakumfikia wala hamfikii Mwalmu!

We unaandika nini? Nyie ndio mnasema Idd Amin alikuwa nabii wenu! Bure kabisa

Njoo kwenye facts mkuu usitukane tu
Katika uchumi Nyerere aliifanya nn hii nchi ?
Njoo kwenye system ya utawala? Je Nyerere alitoa uhuru wa kisiasa? Alitoa uhuru wa kutoa maoni? Mwinyi je ?
Uhusiano wa kimataifa na nchi zinazojielewa
Nyerere alifanya nin kwenye hili? Mwinyi je?
Njoo kwenye kutengeneza vitu vya msingi
Maazimio ya Nyerere yote ni useless lakin Mwinyi alilay foundation kubwa sana kwenye hii nchi inayoenda hadi leo
TRA et al zote hizo ni kazi za mwinyi
 
Back
Top Bottom