Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
Bora misukule wa mwalimu kuliko hawa wa magufuli
 
Mfumuko wa bei mfano mwaka huu mvua zimenyesha kisha ziaondoka zimerudi mazao yakiwa yamesha kauka baadhi ya maeneo hawana chakula kabisa baadhi ya mashamba ya mpunga kirombelo yamefunikwa na maji tutegee mee kuendelea kununua chakula kwa bei kubwa hapa mama samia anahusikaje?au ndio hizo chuki alizo zisema jamaa hapo juu?
Huwezi ukawa kiongozi Tanzania ambayo ina maziwa, mito, mabwawa makubwa kisha ukategemea mvua, utakuwa ni mpuuzi sn, why not irrigation?
 
Bei ya mafuta kwenye soko la dunia ikoje now? shame on you
Hivi unatembea kweli ? Walau hata uone kwa majirani bei za mafuta ni zipi?
Inflation ipo dunia nzima ni vile wewe huna taarifa .
Shipping cost kwa meli kutoka ulaya na asia ni katibu mara mbili ya ilivyojuwa mwaka jana , nayo kasababisha mama?
 
Acha ujinga, Zanzibar bei ya mafuta ni ngapi na mafuta yanatoka Dar?
 
Zanzibar ni mfano mfu au irrelevant ,hao wanatembelea nyota ya bara , ndo maana muungano kwa watu wenye akilli ,zao ni swala questionable.
Umeshafanya cargo shipping yoyote kwa mwaka huu uone bei zilivopanda maradufu?
Halafu nani alokwambia mafuta ya zanzibar yanatoka Dar?
 
Zanzibar ni mfano mfu au irrelevant ,hao wanatembelea nyota ya bara , ndo maana muungano kwa watu wenye akilli ,zao ni swala questionable.
Umeshafanya cargo shipping yoyote kwa mwaka huu uone bei zilivopanda maradufu?
We ni chizi, jibu swali bei ya mafuta Zanzibar ni shs ngapi na bara ni ngapi?
 
Matusi hayasaidii. Halafu waswahili wanasema debe tupu haliachi kutika !! Wewe unaleta hoja za bei ya mafuta hapa halafu sidhani hata kama upo barabarani na chombo cha moto
Mafuta zanIbar leo yapo 2780 kwa petreloli na 2900 kwa diesel , almost bei sawa tu na dar kwa petroli na infact diesel ni ghali visiwani,
 
We utakuwa mwehu dada angu, kwa hiyo kujua bei ya mafuta lazima niwe na chombo cha moto? shame on you
 
Umesema zanIbar ni bei chee nimekupa bei ya huko unabadili mada .
Ungekuwa unamiliki chombo usingekuwa butu namna hiyo ,
Halafu matusi ni dalili ya kutopevuka jifunze kujadili bila mihemuko !
 
JPM alipiga propaganda ya hatari Hadi watu wanotoka mkoani wakifika Dar na kuona Magorofa wanasema ni kazi ya Magufuli wakati kipindi cha JPM ndio kwanza Magorofa yaliyeyuka
Alijaza watu ujinga , imagine hata mvua kuna maboya wanamini zililetwa na magu
 
Umesema zanIbar ni bei chee nimekupa bei ya huko unabadili mada .
Ungekuwa unamiliki chombo usingekuwa butu namna hiyo ,
Halafu matusi ni dalili ya kutopevuka jifunze kujadili bila mihemuko !
Google wewe dada
 
Dead wrong!

Muombe radhi Mzee Mwinyi kwa kumfananisha na huyo, Raisi Mwinyi aliifanyia mazuri sana Tanzania mimi ni mmojawapo wa wanufaika, nilipanda Mabasi ya Wanafunzi, wazo zuri na la kujali binadamu wanaoteseka hasa wa hali ya chini alianzisha Mzee Mwinyi.

Hivyo kamwe usimlinganishe na Mzee Mwinyi, raisi Samia ni sawa na raisi mstaafu Kikwete 100% kila kitu huyo ndio size yake, walinganishe hao, Mzee Mwinyi ni level nyingine kabisa!
Kwani we Kikwete unamwonaje, JK amefanya mambo makubwa sana na tunatakata baada ya Samia tupate rais km Kikwete.
 
Kwani hii nchi tunaongozwa na nani?
A. Mtu mmoja anayeitwa Rais?
B. Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mwenyekiti wake ni Rais
C. Baraza la Mawaziri ambalo mwenyekito wake ni Rais
D. Baraza la Usalama wa Taifa ambalo mwenyekiti wake ni Rais?
Tunaongozwa na nani?
mamako
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida, bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivyo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwinyi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakini bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivyo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau?
Are you sure?
 
Back
Top Bottom