Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

Wanaoishi na propaganda za Magufuli ni wapumbavu wachache wasiojielewa, yani mazezeta fulani hivi, watu wenye akili timamu tupo na mama na tunamuelewa.
Unatoa povu hili ukiwa wapi?.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Wewe zezeta kweli, Ulaya mwenyewe mfumuko wa bei ni mkubwa kuliko , na huko ndipo tunaagiza bidhaa zetu
Chadema mngedhibiti vipi mfumuko?
 
Wanaoishi na propaganda za Magufuli ni wapumbavu wachache wasiojielewa, yani mazezeta fulani hivi, watu wenye akili timamu tupo na mama na tunamuelewa.
Ni wapumbavu Ila wapo wengi Kama nyenyere, ndio maana kupiga hatua Kama nchi itatuchukua karne
 
Wazo la kununua JF huoni kama ni propaganda.
 
Kama wewe ni miongoni mwa werevu katika bongotz, basi kazi ipo. Hata neno kufikiri tu hujui kuliandika!! Ni idiot mmoja mwenye access ya cheap tecno, unajiona umeukata na mwenye akili ni wewe. Hatari sana
Kwa uerevu wako, na uwezo wako wa "kufikili" una bahati nzuri kuwa kwenye nchi ya 'Wabongo' vinginevyo nheee!
Hizo hazihusiani na akili au kufikiri
Magufuli alikuwa na PhD lakini alikuwa akichanganya r na l
 
Nenda kwa watu 100 waulize kati ya Nyerere na Mwinyi nani raisi bora? I bet >90% watasema nyerere ni bora. Ila njoo kwenye facts ndo utajua Mwinyi is way ahead of Nyerere ila shida Mwinyi haku entertain propaganda kama Nyerere
Maraisi wakristo hawana hofu,kuongopa kwao ndio msingi wa maisha yao

Angalau mzee mkapa,lkn huyu aliesema HAJARIBIWI alisema tunatoa pesa yetu mfukoni kununua ndege alikua MUONGO wa kiwango kikubwa sana
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Jamani tujenge taifa letu bila siasa uchwara. Kila kukicha mawazo yetu ni siasa jua ya siasa. Magufuli hata iwe vipi hatutamsahau na tunamkumbuka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Duuh kweli binadamu hawakosi la kusema, yaani Babu Nyerere kutokua na uroho wa madaraka( power monger) hii Leo anaonekana nchi ilimshinda hivyo akaona ambwagie Mwinyi? Mkuu Dunia nzima inafahamu kuwa Nyerere ni Kiongozi Bora kuwahi kutokea Africa na Dunia kwa Ujumla.
Alitawala miaka 24 Mzee baba, na watu walikuwa wakipanga foleni kupata unga
Angeendelea kidogo ingekuwa ni mapinduzi
 
Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Hicho mimi mwenyewe nimekishangaa sana. Sijui kwa nini wanajiweka weka wazi kwa marekani?. Kwenda kuzindulia kule ni kujidharau hata wewe mwenyewe
 
Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee

Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k

Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.

Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.

Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.

Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.

Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.

Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.

Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia

Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Inunue iwe mali ya msoga. Over
 
Kwasbb ni muislamu

Simple tu
Mimi ni Mkristo, lakini ni ukweli ulio wazi anapokuwa Rais Mkristo nchi hii watu wanakuwa na dhiki tofauti kabisa na waislamu watatu waliopata nafasi hii.

Bahati nzuri namshukuru Mungu awamu zote 6 nimeziona kwa macho niki na akili timamu hanidanganyi mtu kitu, wakristo ni makatili na wana roho mbaya tofauti na tunavyowaflame waislamu kama ni watu wabaya sana.

Shida kubwa ya waislamu wanataka haki na wanapinga dhulma ndio sababu watu wote waliolewa mvinyo wa paroko hawezi kuwaelewa waislamu.

Mimi ni mkristo nayashuhudia haya.
 
Endelea kutetea ujinga!! Halafu Johnny wengi wanakuaga “vivuli,” watu wana pumzika. Na wewe mule mule au jina tu? 🤣
Hilo unalijua wewe labda sababu unaangalia Sana hao watu.

Turudi kwenye hoja, Magufuli alikuwa kilaza alipokuwa anachanganya r na l?
 
Alitawala miaka 24 Mzee baba, na watu walikuwa wakipanga foleni kupata unga
Angeendelea kidogo ingekuwa ni mapinduzi
Ila namshukuru Nyerere alipoona sera zake zimefeli alikuwa ni muungwana akang'atuka na kumuachia Mwinyi ambaye alituondoa kwenye ile dhiki ya kuvaa midabwada.

Pamoja na sera zake kufeli lakini alikuwa ni best President ever, na ndio chachu ya kutuletea uhuru, hili hakuna wa kulifuta na atabaki kuwa baba wa Taifa.
 
Mimi ni Mkristo, lakini ni ukweli ulio wazi anapokuwa Rais Mkristo nchi hii watu wanakuwa na dhiki tofauti kabisa na waislamu watatu waliopata nafasi hii.

Bahati nzuri namshukuru Mungu awamu zote 6 nimeziona kwa macho niki na akili timamu hanidanganyi mtu kitu, wakristo ni makatili na wana roho mbaya tofauti na tunavyowaflame waislamu kama ni watu wabaya sana.

Shida kubwa ya waislamu wanataka haki na wanapinga dhulma ndio sababu watu wote waliolewa mvinyo wa paroko hawezi kuwaelewa waislamu.

Mimi ni mkristo nayashuhudia haya.
Peleka huko upuuzi wako mdini wewe
 
Vipi kuhusu Mkapa, Mkapa alikuwa mbabe lakini alikuwa na mtazamo tofauti wa kiuchumi wa Nyerere na Magufuli

Privatization na uwekezaji ulikokuja kipindi Cha Mkapa, japo una baadhi ya hasara lakini umetoa uchumi wa Tanzania uliokuwa shimoni

Tungekuwa na Rais Kama Mkapa tulipopata Uhuru badala ya Nyerere, Leo hii Tz ingekuwa ndio nchi wahamiaji wanakimbilia badala ya South
 
Back
Top Bottom