Endelea kufa na tai shingoni usilegeze, kufa kishujaa usiwe mtu wa hovyo hovyo wa kuweka mabangoNdo yananikuta haya dah naumia saana
Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kuwa K ana nguvu sana ktk mahusiano kuliko wanaume anaoruka nao?Huyo manzi alimsumbua sana Majani miaka ile. Walipoachana produzer alipoteza hata focus ya kupiga midundo pale BR na akatoa songi la kuomba sorry akiwa na Dully nadhani ilikuwa inaitwa Please forgive me. Yani majani na ubabe wake wote alikuwa mnyonge sana na kuomba sana misamaha akaenda chora na matatoo mikononi ili kujifariji lakini manzi alikaza mbaya. Nahisi huyu Konde asipotuliza akili anaweza akaharibu kazi kama manzi hatarudisha moyo nyuma.
Funguka mkuuNdo yananikuta haya dah naumia saana
Pole sana, jikazeNdo yananikuta haya dah naumia saana
Sure Huyu Jamaa Akili Zake Hazipo Sawa Sijui Ndo Bangi IzoNi Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu
Ila P nae kupiga jamani!afu alikuwaga mshenzi sana!Huyo manzi alimsumbua sana Majani miaka ile. Walipoachana produzer alipoteza hata focus ya kupiga midundo pale BR na akatoa songi la kuomba sorry akiwa na Dully nadhani ilikuwa inaitwa Please forgive me. Yani majani na ubabe wake wote alikuwa mnyonge sana na kuomba sana misamaha akaenda chora na matatoo mikononi ili kujifariji lakini manzi alikaza mbaya. Nahisi huyu Konde asipotuliza akili anaweza akaharibu kazi kama manzi hatarudisha moyo nyuma.
Kua mlume ndago baba!!!Ndo yananikuta haya dah naumia saana