Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

Huyo manzi alimsumbua sana Majani miaka ile. Walipoachana produzer alipoteza hata focus ya kupiga midundo pale BR na akatoa songi la kuomba sorry akiwa na Dully nadhani ilikuwa inaitwa Please forgive me. Yani majani na ubabe wake wote alikuwa mnyonge sana na kuomba sana misamaha akaenda chora na matatoo mikononi ili kujifariji lakini manzi alikaza mbaya. Nahisi huyu Konde asipotuliza akili anaweza akaharibu kazi kama manzi hatarudisha moyo nyuma.
Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kuwa K ana nguvu sana ktk mahusiano kuliko wanaume anaoruka nao?
 
MKE nyota inawaka sana! yaani akiw nae kwa nyumba ni mapene yanaingia kwa kila show,Diamond atampenda upya!

Amani furaha km zote zinakuwepo km zote! sasa kwa nii kajala asirudi mjengoni??

Najua kajala ndo kaandiaka hapa kushtua mapzi ya mumewe nilidhani anatania kuumbe kweli kaja humu!
 
Huyo manzi alimsumbua sana Majani miaka ile. Walipoachana produzer alipoteza hata focus ya kupiga midundo pale BR na akatoa songi la kuomba sorry akiwa na Dully nadhani ilikuwa inaitwa Please forgive me. Yani majani na ubabe wake wote alikuwa mnyonge sana na kuomba sana misamaha akaenda chora na matatoo mikononi ili kujifariji lakini manzi alikaza mbaya. Nahisi huyu Konde asipotuliza akili anaweza akaharibu kazi kama manzi hatarudisha moyo nyuma.
Ila P nae kupiga jamani!afu alikuwaga mshenzi sana!

Majani na Kajala walikutana pipa na mfuniko!

Majani alikua anawapiga 3some Munira na Kajala walikua kama wamekua

K mwenyewe haikua rahishi kutoka Kwa P

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom