Kinachoendelea Palestina(Gaza) sio Waislamu pekee wanaopaswa kulaani

usiombe uo mzozo uishe mapema hata kidgo maana biblia inasema vita dhidi ya Israel itapoisha kutatokea njaa kali dunia yote kwa mda wa miaka kadhaa baadae mpinga kristo ataishika dunia kwa kuwapa watu chakula kwa kuwachapa alama ya 666....
mbona mpinga kristo ni hao hao waisraeali
 
Palestina nao wanajibebisha sn wanatakiwa kuomba hata misaada ili wajiandae kivita.
Watasumbuka sn na hao vichwa imara.
Inakuaje mtu yle yle ankusumbua seem ileile kila mda. Anakuzoea mwisho anakuoa
Ngoja wachapike aisee kwa sababu nao ni watu hatari sana aisee. Watu wameisha sahau walivyokuwa wanachinja watu.
 
Mauaji ya waisrael waliouawa kwa mashambulizi ya roketi kutoka kwa magaidi wa hammas yanapaswa kulaumiwa waisrael nao ni binadamu wanastahili kuishi kitendo cha magaidi kurusha maroketi nchi israel na kujificha mahospital, shuleni, misikiti na sehemu za raia wa kipalestine yanapaswa kulaumiwa na dunia yote

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Vitendo vya magaidi wa hammas kurusha maroketi israel na kuawa raia wa israel kisha kujificha misikitini, shuleni, hospitalini, sokoni na nyuma ya watoto na raia wa kipalestina ni vitendo vya kinyama vinapaswa vilaumiwe na vikemewe na waislamu wote na wasio waislamu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Na Benjamin Netanyahu amegoma kusimamisha mashambulizi mpaka wapalestina wasirudie tena kurusha maroketi Israel amesema kichapo kiendelea kwa nguvu zaidi wapalestina tripu hii watajuta kurusha maroketi ni wanafutwa kabisa hao hammas

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Waisrael afadhali kidogo wanalenga wanajeshi ingawa kuna raia wanadhurika lakini wqpalestina wao wanalenga raia kwa sababu wanarusha makombora kwenye miji ya watu.
Ni vyema wote waache mapambano na sio kusema tumlaani Israel kisa analinda raia wake.
 
palestina taifa lililokataliwa.
 
Back
Top Bottom