Kinachoendelea Palestina(Gaza) sio Waislamu pekee wanaopaswa kulaani

Wapuuzi sana hao Mkuu hata kuwachukua ili wahamie katika nchi zao ili waboreshe maisha yao hawataki, wale Jordan wana afadhali kidogo lakini hawana utajiri kama hao wengine. Wanashangaza sana.
Yani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
 
Toka gizani wewe Hamna Ndugu hapo Waisraeli waliopo hapo ni whites a.k.a wazungu,Wapalestina wao wana asili ya kiarabu sasa hapo undugu upo wapi??
Hapo wanapigana wazungu na waarabu,upon Dunia ya ngapi babu??
kwa mitizamo hii ndio maana kuna vifo vya wasio na hatia vinaendelea.
 
Yani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
Kikwazo hapo Ni ccm.
Hawa watu wameweka mizizi Kila mahali, Ndugai anachambia katiba kimya, sabaya anapora watu akiwa na bunduki na mapanga, jiwe a.k.a meko anateka na kuua watu(....ooh sorry kumbe huyu ameshakufa na Corona), bashiru ananunua binadamu waunge mkono juhudi(...oh sorry kumbe huyu alishatumbuliwa kwa wizi na ujambazi wa fedha za umma), Bashite anateka watu,Musiba analeta itikadi za kishoga, ameanza kujiita Veronica France...Yani mpaka mashariki ya Kati wameenda kuleta mzozo, Hawa ccm Ni magaidi
 
Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho

Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina

Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.

Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.

Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.

Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.

View attachment 1782175

WHO CARES???

View attachment 1782173

LETS PRAY FOR PALESTINE
Sie tuna shida zetu,bado Nina hasira na Benz la Mwinyi,harafu wazee wetu wakarudi nyumbani bila hata shilingi.
 
sijui hata kwanini umetaja waislamu hapa ukijaribu kujenga hoja.ni kama upo kwenye hilo koti unalolizungumzia lakini unajaribu kutoka.

harakati zozote zikihusisha damu za watu tayari zinakosa uhalali kabisa.binafsi nashindwa kuelewa hawa ndugu wawili wana shida gani,mpaka kuuana miaka nenda rudi bila kujali.

dunia haina maana kabisa sehemu nyingine.
Mkuu, mgogoro wa Israel na Palestine ndio kipimo kikubwa cha unafiki wa baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa (UNSC)
 
Siyo Israel tu hata Msumbiji, Nigeria, Sudan, Somalia n.k
Mbona hamkemei kuhusu Boko Haram, Islamic state (Msumbiji), Al shabab, ISIS na makundi mengine ya kiislam yanayofanya mauaji?
wewe tu ndo ndo uongei na hao bokoharam wanaua watu wote hamna cha mkristo wala muislam labda ungeniambia wananua wakristo tu
Acha utoto.
 
Mimi nadhani uko haiutuusu mbona ndugu zetu wa damu weusi wenzetu wa Congo wanakufa kila siku mjawai lalamika huo ni unafiki.tumalize ya kwetu africa kwanza.

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Dunia ni moja mkuu ndio maana misaada inatoka USAID na kuja Tanzania. Siwezi nikapingana na wewe kwamba sisi waafrika si ndugu, lakini je tunapendana sisi kwa sisi?

Soma mpasuko huu wa Afrika>>> Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Afrika baina ya mataifa yanayozungumza Kiingereza na Kifaransa
 
Palestina nao wanajibebisha sn wanatakiwa kuomba hata misaada ili wajiandae kivita.
Watasumbuka sn na hao vichwa imara.
Inakuaje mtu yle yle ankusumbua seem ileile kila mda. Anakuzoea mwisho anakuoa
 
Yani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
Waarabu (Islamic World/Community) hapo mashariki ya kati yenyewe imegawanyika sana mkuu. Kuna mataifa ya kiarabu ni maadui kama vile Saudi Arabia na Qatar.
 
Palestina nao wanajibebisha sn wanatakiwa kuomba hata misaada ili wajiandae kivita.
Watasumbuka sn na hao vichwa imara.
Inakuaje mtu yle yle ankusumbua seem ileile kila mda. Anakuzoea mwisho anakuoa
Syria na Iran wanajitahidi sana kutuma silaha kwa Hamas na Hezbollah lakini nyingi ni za kizamani na nyingine jeshi la maji la Israel wanazikamata mapema.
 
Toka gizani wewe Hamna Ndugu hapo Waisraeli waliopo hapo ni whites a.k.a wazungu,Wapalestina wao wana asili ya kiarabu sasa hapo undugu upo wapi??
Hapo wanapigana wazungu na waarabu,upon Dunia ya ngapi babu??
Ndio maana Pentagon wanatuma msaada wa fedha na silaha za kivita zenye thamani ya billions of dollars kila mwaka kwenda Tel Aviv.

Wazungu wamejaa sana Israel.
 
wewe tu ndo ndo uongei na hao bokoharam wanaua watu wote hamna cha mkristo wala muislam labda ungeniambia wananua wakristo tu
Acha utoto.
Kwani israel inauwa waislam au waparestina? Target yao ni kundi gani apo?
 
Back
Top Bottom