msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
huyu siyo shujaa tena angefanikiwa kuibomoa CHADEMA mgeweza kumwita hivyo lakini kwasasa ni sawa na mende aliye geuzwa miguu juu...
Hyo style naitumiaga sana na mke wangu...
huyu siyo shujaa tena angefanikiwa kuibomoa CHADEMA mgeweza kumwita hivyo lakini kwasasa ni sawa na mende aliye geuzwa miguu juu...
Kama Mungu amekataza usivunje amri ya sita na wewe unavunja, huo si usaliti kwa Mungu? Kumbuka, ngono za Mbowe kwa Joyce Mukya, ndizo zilizopelekea Mukya asitumikie taifa ipasavyo
Status yake ya Naibu Katibu Mkuu WA ZAMANI ipo lakini pia mtuhumiwa wa mashtaka 11 anayotakiwa kujibu kamati kuu kwa hiyo nilimshauri aangalie asije akazidi kuivunja katiba maana mashataka hayo hujibiwa ndani ya vikao na sio kama alivyofanya Serena.It was a mere candid advice.
kuna watu wawili wananichanganya ndani ya chadema ni Zitto na Shibuda. KAMA MMEWASHINDWA MSEME BANA TUMECHOKA NAO SISI.Status yake ya Naibu Katibu Mkuu WA ZAMANI ipo lakini pia mtuhumiwa wa mashtaka 11 anayotakiwa kujibu kamati kuu kwa hiyo nilimshauri aangalie asije akazidi kuivunja katiba maana mashataka hayo hujibiwa ndani ya vikao na sio kama alivyofanya Serena.It was a mere candid advice.
Hata wakiacha thread 100 za Zitto kwenye 1st page sidhani kama huo utakuwa msaada kwa rafiki yao.Halafu kuna post yangu imefutwa.
Niliwashauri moderators waunganishe thread na ya jana ili kuleta mtiririko sahihi kama walivyounganisha zile za ziara ya Dr.Slaa Marekani na pia hizi za ziara yake mikoani badala ya kuiacha hii kama walivyoacha zile za ziara ya Kinana wa CCM na Timu yake
CC😡Invisible, Moderator Buchanan, Fang
Mkuu, kesho ndipo utakapojua kuwa Zitto ni Shujaa. We tulia tu kama unakamuliwa jipu
Mkuu, kesho ndipo utakapojua kuwa Zitto ni Shujaa. We tulia tu kama unakamuliwa jipu
Status yake ya Naibu Katibu Mkuu WA ZAMANI ipo lakini pia mtuhumiwa wa mashtaka 11 anayotakiwa kujibu kamati kuu kwa hiyo nilimshauri aangalie asije akazidi kuivunja katiba maana mashataka hayo hujibiwa ndani ya vikao na sio kama alivyofanya Serena.It was a mere candid advice.
akuna kitu hapo, anatafuta huruma ya wananchi, pesa anayotumia sasa kuanda upuuzi huu ni bora angejiwekea zingemsaidia, jimbo zima una diwani mmoja tu wa chama chako unasema shujjaaaaaaaaa, labda wakuuu... ngoja check chenga zake hapa chini.
![]()
Mkuu Slaa aliponda tuliabiwa maandamano ya kumpinga Slaa yaliratibiwa na CCM na sio wana CDM wanaopinga Zitto kuengliwa uongozi.......sasa nategemea wale 'wanachadema'' waliompokea Slaa watagomea mkutano wa Zitto.........na sasa umebadiliaunasgizia kwamba Mkutano unaratibiwa na UVCCM, Dogo usisahau kwamba Zitto bado ni mbunge na wananchi kwa wingi wanamuunga mkono..........sio muda mrefu uongo utajitenga. Hili lazima ukubali Zitto ni Mzitto hapo chadema!!!!!Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.
Wastage of time,tumeshawasikia CDM wanachosema juu ya zito,na tumesikia Zito anachosema juu ya CDM.wote wanatakiwa wabadilike,asiyeweza kufanya kazi na wenzie asipoteze muda wetu kujadili stori zake.shujaa gani anaenda kujenga chama peke yake kila siku?wenzie wanapigwa mabomu,wanaumizwa yeye anasubiri kugombea vyeo kila kona.oparesheni za chama haonekani,vikao hahudhurii,ccm ndio marafiki zake wakubwa.halafu anataka apewe UENYEKITI na AGOMBEE URAIS.Huyo ndio shujaa??Hizi ni tamaa,cdm wasimpe nafasi tena labda abadilike na jamii ione kwa vitendo.
Kama hoja zenyewe ndizo hizi Chadema kufa itakuwa ndoto.Kama Mungu amekataza usivunje amri ya sita na wewe unavunja, huo si usaliti kwa Mungu? Kumbuka, ngono za Mbowe kwa Joyce Mukya, ndizo zilizopelekea Mukya asitumikie taifa ipasavyo
lazima slaa achanganyikiwe kwa mwendo huu hii spidi siyo ya kawaida.
Yaani mtu akila raha na hawala yake ni usaliti labda kama wewe ni mke wa Mbowe...
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.
Nimekubali Zitto ni kiboka yaani thread yake yoyote inayopostiwa inakimbia mbio kinoma kuliko thread yoyote ile. Kaka kaza buti uko nyoyoni mwa watanzania. Kila mtu anakukubali kwa uadilifu wako. Ukipata nafasi ya kugombea urais hata kula za wana ccm, wana cuf ,wana cdm wana nccra maguzi, wana Tlp nk utapewa na hatimaye utashinda. Watashindanaweeeeeeeeeeeeeeee lakini hawatashinda.