Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.
Ile Kamati yake ya Serena Hotel ndo imehamia Kigoma kumsaidia... hahahahaaaaa
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.
Wastage of time,tumeshawasikia CDM wanachosema juu ya zito,na tumesikia Zito anachosema juu ya CDM.wote wanatakiwa wabadilike,asiyeweza kufanya kazi na wenzie asipoteze muda wetu kujadili stori zake.shujaa gani anaenda kujenga chama peke yake kila siku?wenzie wanapigwa mabomu,wanaumizwa yeye anasubiri kugombea vyeo kila kona.oparesheni za chama haonekani,vikao hahudhurii,ccm ndio marafiki zake wakubwa.halafu anataka apewe UENYEKITI na AGOMBEE URAIS.Huyo ndio shujaa??Hizi ni tamaa,cdm wasimpe nafasi tena labda abadilike na jamii ione kwa vitendo.
Mnaogopa nini sasa?
Sure Mkuu. Wananchi wa Mwandiga wana hamu sana kuonana na shujaa waoMbivu na Mbichi zote ni Kesho, Kesho ndio tutajua Kati ya BABU na Mheshimiwa Zitto Kabwe nani zaidi!
Hahahahahaaaaa, mnahangaika sana.Ile Kamati yake ya Serena Hotel ndo imehamia Kigoma kumsaidia... hahahahaaaaa
Tunaogopa hizi pesa zote wanazotumia CCM kugharamia Waasi.
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani
Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki
Please ,spare us with your ignorance!
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani
Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki
Please ,spare us with your ignorance!
Ndiyo hao mkuu.Pia wale wote waliokuwa wanapiga mawe kwenye mikutano ya Dr Slaa.Nadhani wataambatana pia na yule mwanasheria wao.
Muda mchache ujao tutakuwa tumepata gharama halisi waliyotumia CCM kwenye mkutano huu.
Ameona alichokifanya Serena kukashifu viongozi haitoshi bali sasa ni kuandaliwa mkutano na CCM kukashifu viongozi na chama
Mkuu, kwani Zitto hana fedha za kugharamia mkutano huo? Zitto muda wote amekuwa akitumia fedha zake kukijenga chama wakati babu slaa na Mbowe wamekuwa wakitafuna fedha za fedhaTunaogopa hizi pesa zote wanazotumia CCM kugharamia Waasi.
Shujaa ameifanyia nini chadema?. acheni upumbavu.
Mkuu, kesho ndipo utakapojua kuwa Zitto ni Shujaa. We tulia tu kama unakamuliwa jipu
Mnaogopa nini sasa?
Mbivu na Mbichi zote ni Kesho, Kesho ndio tutajua Kati ya BABU na Mheshimiwa Zitto Kabwe nani zaidi!