Kazi mliyo mtuma ZZK imeshindikana.
Kwi kwi Kwiiii....
Eti shujaa wa Waasi.
Kazi mliyo mtuma ZZK imeshindikana.
Mkuu, hapo hasira zipo wapi? Au wewe ndo una hasira ya kuona hasimu wako anashine Mwandiga?Acha hasira
Haya mapokezi ya Kinana Kigoma!CCM wako busy kupokea mtu wao
Mbona unaandika kisoga soga tu?Kwi kwi Kwiiii....
Eti shujaa wa Waasi.
Mkuu, hapo hasira zipo wapi? Au wewe ndo una hasira ya kuona hasimu wako anashine Mwandiga?
![]()
Lazima akili zenu ni kiwangocha panzi maana hamjui matokeo ya mnayoyafanya. Basi mshaurini ajitoe rasmi kuwa mwanachama wa CHADEMA halafu muendelee kwa utulivu nje ya CHADEMA.
Ukweli mimi binafsi nawashukuru sana kwa jitihada zenu kwa sababu zinadhihirisha mtu wenu alivyo wa hovyo
Mbona unaandika kisoga soga tu?
CCM inakujaje hapo? Kwani Zitto hana wafuasi ndani ya CHADEMA?CCM wanampokea shujaa wao.Raha sana.
Mkuu, CCM iko imara na ndo maana inashika dola. Nyie katibu Mkuu wenu amesema chama chenu hakiko imara. Badala ya kumtumia Zitto kuimarisha chama, mnamtumia kukibomoa chamaPoleni sana.Ni afadhali pesa mnayotumia mngeimarisha CCM matawini.
Kwani Zitto anaenda kama Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA au anaenda kuongea na waoiga kura wake?Ben Saanane kamshauri ajihadhali asije akavunja tena katiba ya chama.
CCM inakujaje hapo? Kwani Zitto hana wafuasi ndani ya CHADEMA?
Mkuu, kwani Zitto hana fedha za kugharamia mkutano huo? Zitto muda wote amekuwa akitumia fedha zake kukijenga chama wakati babu slaa na Mbowe wamekuwa wakitafuna fedha za fedha
Shujaa ameifanyia nini chadema?. acheni upumbavu.
Kwa hiyo kama kashindwa kazi waliyomtuma, kwa nini mnatengeneza dhana kuwa CCM ndo wanagharamia huo mkutano wa mwandiga? Mbona mnajichanganya?Kazi waliyomtuma Kashindwa.....
Molemo amesema wanamfukuza sasa sijui yeye ni nani pale CDM.... viroba vitawamaliza vijana!kama nyie mnamuona msaliti mfukuzeni, ameshasema hatoki cdm labda mumuondoe, ila inavyoonesha hamna mwenye uwezo wa kumfukuza zzk si babu slaa au huyo msaliti wa ndoa yake, wamebaki wanawatumia misukule yao ikiongozwa na mida 8 kumchafua zzk ila wamesahau kuwa zzk hachafuliki kwani kila mtanzania mwenye akili timamu anaelewa kuwa ni siasa za maji taka zinazoendeshwa na babu na dj ambao wote wameshindwa hata kulinda ndoa zao
Mkuu, CCM iko imara na ndo maana inashika dola. Nyie katibu Mkuu wenu amesema chama chenu hakiko imara. Badala ya kumtumia Zitto kuimarisha chama, mnamtumia kukibomoa chama
Chadema imwogope Zitto...unachekesha sana...Zitto tuna mfukuza
Hangaikeni sana na Zitto. Mtabaki hivyo hivyo?Hajawahi labda kutoka kwa rostam Azizi na TISS..