Chadema mkishindwa kumfukuza zitto hamfai kuwa kuaminiwa kupewa dola kama mtaendelea kuoneana haya kama ccm, lazima muwe na maamuzi yasiyotetereshwa na mashinikizo ya kijinga kama haya. hizo picha atakuwa kazitengeneza zitto mwenyewe hii ni usanii vinginevyo aliyetengeneza flayaz hizo ajitokeze na aseme ametengenezea wapi na anafaidika vipi na shughuli hii.