Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
hummer used bei gan? umaskin wako peke yako,

Ok ila jua kuwa Zitto alipewa gari hiyo na kada wa CCM tena fisadi papa,na it was 2008 akiwa na miaka michache bungeni na ni baada ya kashifa ya Buzwagi na mwenyewe kwa aibu alikuja kulitoa,kama huna fact au hoja mjarabu then kaa kimya kwani sikukuuliza bei ya HUMMER bwana Tajiri na mimi sio mnafiki wala mramba viatu kama brush za shoe shiner za wanafiki wa jf na siasa!! Idi.ot!!
 
naona unapenda sana kuquote misemo ya wenzio. Umiza kichwa ufikirie, nawe uje na input ya kwako mwenyewe. Msemo wenyewe huo ulioquote unakupiga dongo wewe mwenyewe!

Yeah.. Kwa kwa kwa, Unataka niumize kichwa nami nije na input zangu kama ile ya

"NYUMBANI KWAO HATA PANYA HATABAKIA UVUNGUNI"

By Zitto Kabwe- (Naibu katibu Mkuu wa zamani)
 


"Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria" - Dr. Slaa

"Kumleta Obama Tanzania ni ishara tosha kwamba CCM chama kilichomaa kuliko vyama vyote chini ya jangwa la sahara"- JK Alfani
 
Msaliti ni Zitto au Mbowe ALIYEMSALITI MKE WAKE?
Kamuulize Lilian Mtei, nani Msaliti kati ya Mbowe na Zitto, bila shaka atakwambia Mbowe

ajabu Lilian Mtei mwenyewe yuko kimya huku wewe ukishughulisha m a s a b u r i yako bila malipo humu JF
 
Ww ndio mpuuz kweli nani kakwambia hata jimbon kwake wanamtaka? Zitto kakataliwa na taifa zima hapo alipo anafanya mchezo wa mdundiko lakin ngoma ikisimama naye atasimama.
Mkuu haya maneno yako utayakana kesho.
 
Nimeipenda hiyo picha
haya chukua na hii basi

4+copy.jpg
 
Mbio za sakafun huishia ukingoni,kwa sasa zito amejimaliza mwenyewe na kilichobaki ni yeye kushikilia ubunge wake tu,chadema ni chama makini ambacho hakitayumbishwa na mamluki yeyote,hongera chadema kwa kuchukua maamuzi magumu
 
huyu siyo shujaa tena angefanikiwa kuibomoa CHADEMA mgeweza kumwita hivyo lakini kwasasa ni sawa na mende aliye geuzwa miguu juu...
Wewe pigana na keyboard wanakigoma ndio wanajua kama ni shujaa au la
 
slaa ni katibu mkuu wa chama cha upizani tanzania na zitto ni nani?

Unajua ni pesa kiasi gani imetumiwa na Dr. Slaa kwenda Kigoma na kwingineko huharibu image ya Zito? na hizo huoni nazo zingetumika kwa maendeleo ya chama?
 
Nipo mwandiga hapa kuna vijana wamekuja na gari ndogo aina ya GX 100 toyota wanagawa pesa kama Wamechanganyikiwa wakihamasisha ujio wa msaliti zitto
 
Zito shujaaaa Zitto shujaaaaaaaaaaaaa Zitto shujaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Zitto kidume cha mbegu
 
Ntakuwepo kwenye mkutano wake nimsikie ana single ipi.Zitto nimsaliti tunamfuhamu ila ni misukule wake ndio bado wanamuona niwamana kwa ule msemo wa mwenye kupenda husema pengo eti ni mwanya!
 
Ntakuwepo kwenye mkutano wake nimsikie ana single ipi.Zitto nimsaliti tunamfahamu ila ni misukule wake ndio bado wanamuona niwamana kwa ule msemo wa mwenye kupenda husema pengo eti ni mwanya!
 
Hii kete CHADEMA wakiitumia vizuri inaweza kuwa a big surprise kwa CCM!
mkuu nmekuelewa, ni wachache sana wanaweza kuelewa hili.

kipindi fulani vandame na Dolph lundgren walialikwakwenye sherehe fulani, wakapanga wakikutana kwenye sherehe hiyo wafanye kama wamegombana kisha waanze kupigana, tukio lile liliuzwa sana na walingiza pesa nyingi bila ya watu wa media kujua kuwa ilikuwa ni planned event.
 
Hiviwe jamaa Zitto alikukosea nini?!
au anatoka na m.a.m.a yako nini?! maana ukiona tu mtu kamsifia Zitto unaumiaaaaa mpaka utatamani kunywa sumu, Au unataka tuwasifie maboss wako waambie watende mema watasifiwa tu maana ni -------- tu anayeweza kumsifia mtu aliyeitelekeza au kuisaliti familia yake!

"A fool deadly mind so sturbon"

( W.P BOTHA)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom