Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,515
Kupambana na viongozi wake ni kuonyesha kibri cha hali ya juu kwa chama hata kwa wanachama.Zitto anatakiwa kuwa na heshima kwa CDM na viongozi wake full stop.
Tatizo lake kuu ni kujiona anaweza kwa kupumbazwa na matangazo ya wapambe wake wakiwemo pro ccm,
Pilika pilika hizi zitakapokwisha na kubaki peke yake kama Hamad na Kafulila ndipo atagundua alipotoka, majuto ni mjukuu.