Kimori2015
Member
- Nov 28, 2013
- 15
- 0
Tujikumbushe 2010 MM aliporomoka sana jaribu kuangalia kura zilizopigwa jimboni ni 47309,mgombea wa CCM alipata kura 18416 na MM alipata 23000 kwa huyo wanayemuita shujaa anajua khali ilivyo si kweli kwamba anatakiwa kigoma kiivyo hata yeye analitambua hilo ndo maana anaona hawezi kugombea tene khali si kama magamba mnavyoikuza.