Hapo mitaa ya Salma coni kuna vyakula poa sanaa,
Mitaa ya Sahara kwa juu pale,,
Siku ukibahatika ukafika mitaa ya igoma, basi hapo kuna mmama mmoja ana mgahawa bomba sanaaaaa,,
Ukifika pale utahisi uko pwani[emoji3],,
Kuanzia chai hadi misosi,, kiufupi ni watundu,, nikiwa na mishemishe mitaa ya kule basi huwa nafika palee, mda wowote vyakula ni vyamoto, hata ukienda usiku,
Wahudumu wake wamepiga hijabu nadhani pia ni wanawe, maana wote wanapga hijabu,, ukifika pale usipokuwa makini unaweza tangaza ndoa,, wakarim sanaaaa[emoji3][emoji16][emoji23],,