Tunza road, ilemela, near malaika beach resortTunza beach iko wap mkuuu
Tunza road, ilemela, near malaika beach resortTunza beach iko wap mkuuu
MmhhNikishukaga nyegezi pale...nakuwa nimekwisha book chumba cosmopolitan hotel na kuwaambia wanitengenezee ugali samaki..anakuja samaki huyo kama mkono halafu yupo freshi kama hajawahi kaa kwenye fridge...cha ajabu sasa kwenye bei utashangaa unaambiwa buku 8...chumba buku 20 ambacho Arusha au Dar utaambiwa buku 40...kesho yake nakuwa nimeenda kuchill Tunza beach resort full utulivu..ebhana eeh mwanza napaelewa sana..
Bro Cosmo nalala hapo kwa 35kNikishukaga nyegezi pale...nakuwa nimekwisha book chumba cosmopolitan hotel na kuwaambia wanitengenezee ugali samaki..anakuja samaki huyo kama mkono halafu yupo freshi kama hajawahi kaa kwenye fridge...cha ajabu sasa kwenye bei utashangaa unaambiwa buku 8...chumba buku 20 ambacho Arusha au Dar utaambiwa buku 40...kesho yake nakuwa nimeenda kuchill Tunza beach resort full utulivu..ebhana eeh mwanza napaelewa sana..
Mbeya, Iringa, Moro, Rukwa, Njombe wanawake hawajui kupika wanajua kujaza nyanya na mafuta kwenye mbogaMwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndipo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Mbona hawahamii huko Mwanza wakaishi au wanaenda kudanga kisha wanarudi zao Dsm?kawaulize wasanii na bongo movi kwa nini wanapenda kwenda huko ukipata jibu utanyamaza
Mmmmmmmm bila shaka sehemu nyingine si Mbeya.wale wamama wanajua kupika wali yaani acha kabisaaaIringa Mbeya labda ulikula kipindi baridi Imekukamata na ulimi haukuwa unaweza kufafanua taste vzuri kwa kipindi nilichoishi sijawahi kukutana na chakula kizuri wako chini kwenye mapishi cha ajabu mpunga wanalima wao ila jikoni zero cjajua vyuo vya ufundi wa mapishi vinafanya kazi gani kule hivi majuzi nilikuwa Mbeya Hotel nikahisi labda huko nitapata ahueni ila c lolote c chochote.
Hongereni sana kwa kubarikiwa. Sie wa morogoro na sie tuna yetu ati ahahahUzuri wa Watu wa Mwanza kwanza tumejaliwa Ukarimu sana na Upendo mkubwa na hatuna tabia ya kujibana bana Chakula yaani Ucnoyo na kwa sababu kuna samaki ni Mkoa unaoongoza kwa watu wenye uwezo mkubwa wa akili(IQ)
Nikwambie pujo sisi tunapenda mboga za majani tunatumia na samaki wa kukaanga au mchemso(kitu cha asili tena ni muhimu asili hamna mafuta). Kama kuna Mtu anabisha niliuoyasema basi anaruhisiwa kunipinga kwa mifano ila ageneralize sio mtu mmoja mmoja.
pujo
Unaweza niambie hata sifa chache.Hongereni sana kwa kubarikiwa. Sie wa morogoro na sie tuna yetu ati ahahah
Ahahah ww nitakuambia baadae. Ni siri yetu mi na ww tu.Unaweza niambie hata sifa chache.
Sawa my babe wangu pujo
sema mwenyeji wake hajui kupika full stop!!Kwenye mapishi ww ni muongo sikuungi mkono
Mbeya, Iringa, Moro, Rukwa, Njombe wanawake hawajui kupika wanajua kujaza nyanya na mafuta kwenye mboga
Utuache. Wewe kama ulienda kwa shangazi yako wakakulowekea mchicha ukala utulie. Ni hayo tuMwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndipo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Mitaa ipi hiyo mkuu?Niliwahi kula supu Mwanza ya makongoro ambayo yamekwatwa na mashine. Ilikuwa na ladha nzuri sijapata kuona maishani mwangu
Ndo unajua leo mkuu? yaani uko mjini utafikiri kijijini hadi watu wa Sumbawanga town wamewashinda..Ukia mjini unafell ile hali ya wakazi kuwa kweli mjiniMwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndipo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
True,ukubwa gani,kwa lipi? yaani kujaza washamba wanaozurura mjini ndio ukubwa?Mi naomba nikupinge hapo uliposema, "JIJI LA PILI KWA UKUBWA BAADA YA DAR ES SALAAM"