jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
- #61
MmhhDon't compare katoro na miji ya ajabu ajabu
MmhhDon't compare katoro na miji ya ajabu ajabu
Atleast mkuu hutak kubisha ukweli ila unashaur ku adaptMwanza ni jiji ambalo halina presha kama Dar na Arusha, halafu hatuna mambo mengi sana hivyo tuchukulie tu tulivyo
Ha ha ha ha we banaHawa jamaa huwa wanapika ugali mgumu kuliko maisha ya sasa
Sasa mwanza jiji kila kitu kizur lakin msos kama wanapikia nguruwe yaan unanunua wal samaki unaishia kumla samakZunguka kote ila mambo yote Tanga Bwana kuna miaka flani nilienjoy sana vyakula kila ninachokula naienjoy aisee bei ya kawaida kabisa. Nimetoka zangu bara huko nawachukia dagaa hatari ila Tanga ikanifanya nijue upande wa pili na shilingi walivokuwa watamu kama sio ninaowachukia, nikaondoka na somo moja hakuna chakula kibaya ila mapishi tuu. Tukiacha yote watu wa mikoa tofauti na Pwani mapishi ni mabovu yaani hovyo hovyo, nishawai kwenda Sumbawanga kila mgahawa ninaokula ni hovyo nashindwa kabisa kumaliza chakula
Buda ukija mjini tafuta ma alwataan wa mji,,,, unataka chakula kama cha almaida pale lumumba?..kesho mchana nenda mwanza hotel ukifika unga na barabara inayoelekea kwa mataa then ukifika hapo ulizia kwa wapemba wanapopika msosi......Nimetoka nimeishia kula malaya na bia msos amna
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kukikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.
Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.



Tusaidie na sie tusiojuaMi naomba nikupinge hapo uliposema, "JIJI LA PILI KWA UKUBWA BAADA YA DAR ES SALAAM"
Inaonesha mkuu umeingia mwanza na budget ya buku 3000 kwa siku ...yapo maeneo mazuri ukala chakula safi ,tafuta mwenyeji akupeleke maeneo kama harden palace kama sijakosea
Kula hivyo vyakula mkuu urudishe heshima dar ..maana masai dar sio walinzi tena ni kuwauzia dawa tuu adi viungo vya pilau
amekula huyo jamaa kamanga kwa buku
Dar es salaam ina wilaya tatu tu, je jiji la Mwanza lina wilaya ngapi? Ukishapata jibu hapo utajua kwa nini nimepingaTusaidie na sie tusiojua
Nadhani amemaanisha population, biashara na maendeleoDar es salaam ina wilaya tatu tu, je jiji la Mwanza lina wilaya ngapi? Ukishapata jibu hapo utajua kwa nini nimepinga
Angesema Jiji linaloendelea baada ya DarNadhani amemaanisha population, biashara na maendeleo
Maana kijografia Dar ndio mkoa mdogo kuliko yte TZ
![]()
amekula huyo jamaa kamanga kwa buku
AsanteUkitaka mambo ya burger,juice zilizoenda shule,kuku wa kuoka nenda Salma corne,
ukitaka chips za kiwango cha MacDonald ,kuku wa sampuli ya KFC nenda mgahawa wa Sizzler.
Mambo ya tea,coffee etc nenda SUNCITY hotel.
Mchemsho etc nenda Four ways ,ila hii sidhani kama bado ipo,
ukitaka mambo ya mishakiki ya kukanga,keki za kiwango cha kimataifa nenda Victoria Fast food.
Ukitaka mambo ya Roast kuku,samaki etc nenda Chrimas Tree,Aspen etc
ila biriani,pilao ndo itabidi uende kwa mama lishe
AsanteBuda ukija mjini tafuta ma alwataan wa mji,,,, unataka chakula kama cha almaida pale lumumba?..kesho mchana nenda mwanza hotel ukifika unga na barabara inayoelekea kwa mataa then ukifika hapo ulizia kwa wapemba wanapopika msosi......
Usiporidhika, niambie nikuelekeze chimbo lingine
Ha ha haHeheh Ukiwa kwa watu kubali kuendana na mazingira mkuu, hayo ya wali nazi subiri ukirudi Bandari Salama.
Ukitaka mambo ya burger,juice zilizoenda shule,kuku wa kuoka nenda Salma corne,
ukitaka chips za kiwango cha MacDonald ,kuku wa sampuli ya KFC nenda mgahawa wa Sizzler.
Mambo ya tea,coffee etc nenda SUNCITY hotel.
Mchemsho etc nenda Four ways ,ila hii sidhani kama bado ipo,
ukitaka mambo ya mishakiki ya kukanga,keki za kiwango cha kimataifa nenda Victoria Fast food.
Ukitaka mambo ya Roast kuku,samaki etc nenda Chrimas Tree,Aspen etc
ila biriani,pilao ndo itabidi uende kwa mama lishe