BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Umeona ee cheki hii kali ya mwaka toka kwa mwanaume wa darView attachment 1017719
🤣🤣🤣🤣🤣 laini laini sana hawa watu, alafu sio watu wa kujishughulisha, Wengi wao wanalishwa na wazazi.
Umeona ee cheki hii kali ya mwaka toka kwa mwanaume wa darView attachment 1017719
Wanaume wa mikoani pamoja na kua na nguvu za kiume lakini wakigongewa madem zao either wanawauwa wapenzi wao hao na wenyewe wanajinyonga... wanaume wa mikoani dhaifu sana kuhimili mikiki mikiki ya kimapenzi..kwao wanawake ni kitu cha ajabu sana...
Kikawaida wanaume wa Dar wakigongewa wanawake zao hua wanatafuta wanawake wengine sababu huku kwa asilimia kubwa hatuna njaa na madem, unaingia tu makumbusho, kariakoo, mwenge, tegeta au mawasiliano unang'oa mtoto mkare hataarii kuliko huyo aliezingua...Wanaume wa dar wakigongewa wake zao wanakodi wanaume wa mikoani kuwasaidia kutatua marinda ya wagoni wao kisha wanaendelea na wake zao daah kuishi dar raha sana
Jamaa ni muongo sana!! Au alikuwa mwanza ipi hiyo!! Mimi nikifika mwanza huwa lazima nipitie mitaa ya kamanga, pale tu ni kwa mama lishe lakini msosi upo vizuri balaa na bei ndogo, wali samani (sato) buku tatu lakini samaki samaki kweli!!!Kwenye mapishi ww ni muongo sikuungi mkono
Kikawaida wanaume wa Dar wakigongewa wanawake zao hua wanatafuta wanawake wengine sababu huku kwa asilimia kubwa hatuna njaa na madem, unaingia tu makumbusho, kariakoo, mwenge, tegeta au mawasiliano unang'oa mtoto mkare hataarii kuliko huyo aliezingua...
OFM ndo nnHahahahaha aiseee unadanganya mchana kweupeeee. Ingekua hivyo shingongo asingeanzisha OFM
OFM ndo nn
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Oparesheni fichua maovu
We naww n wa dar!! Simaanishi kua unatokea geographical area ya dar!!Kikawaida wanaume wa Dar wakigongewa wanawake zao hua wanatafuta wanawake wengine sababu huku kwa asilimia kubwa hatuna njaa na madem, unaingia tu makumbusho, kariakoo, mwenge, tegeta au mawasiliano unang'oa mtoto mkare hataarii kuliko huyo aliezingua...
Tutajie na jina lake.... Ha haUmeona ee cheki hii kali ya mwaka toka kwa mwanaume wa darView attachment 1017719
Pale sahara kuna mmoja Huyo anaitwaga mzee snake,,,,
,,,ugali nyama choma..ugali samaki wa kuchemsha,,,
Alafu kuna ugali wa mtama,,
,,,Kuna ugali na kichuri mura,,
Misosi orijino tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako halieleweki..umeuliza mimi ni wa Dar? Halafu haumaanishi kua ninatokea geographical area ya Dar..halafu pia hapo hapo unauliza ya kwamba mimi ni mwanaume wa Dar? Vipi wewe ni mwanaume wa mkoani nini ?We naww n wa dar!! Simaanishi kua unatokea geographical area ya dar!!
Namaanisha kua na ww n mwanaume wa dar?
Ebu nikusaidie mkuu kiswahili kimekuaSwali lako halieleweki..umeuliza mimi ni wa Dar? Halafu haumaanishi kua ninatokea geographical area ya Dar..halafu pia hapo hapo unauliza ya kwamba mimi ni mwanaume wa Dar? Vipi wewe ni mwanaume wa mkoani nini ?
Wapemba wako sehem gan?!!Mzee baba kuna machimbo mazuri tu ya misosi, hasa migahawa ya wapemba
Sehem nyingi tu wapemba wapo,! Inategemea na ww uko maeneo gani?Wapemba wako sehem gan?!!
Unazijua izo sehem mkuuView attachment 1233434View attachment 1233436View attachment 1233437