Kinachoboa Mwanza

Kinachoboa Mwanza

Wanaume Wa dar bana mushazoea vichipsi uchwara, ndio maana mnakuwa legelege hovyo, hicho chakula unachokiponda sisi kimetukuza na tumezoea hivyo, ukitaka kupikiwa unavyotaka tafuta hela nenda kwa mahoteli makubwa au ukija Mwanza uwe unakuja na chakula chako unatunza, sijui umenielewa?
 
mambo ya misosi hayo kitugani bwana,,,
,,sema kuhusu mzunguko wa hela,,mwanza patamu kwenye mzunguko wa hela,,,pia vyakula vingi sana
 
Siku hizi kupata migahawa ya bei za kawaida na bado wakakupa chakula kizuri imekuwa ngumu sana,wapishi kama yule anayelisha opposite na rocky city mall,ni adimu!Nampa hongera yule mama pale nje ya mall unajitahidi kukarangiza.
Upande upi wa Rock Mall? Geti la kutokea uwanja wa furahisha au Ghana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.

Lakini;

WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana

MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.

Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.

Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.

BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.

Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Kila sehemu kuna tamaduni na namna ya maisha, hivo basi hapawezi kuwa sawa. Watu wa huko labda wanapenda mchemsho na si wapenzi wa vyakula vyenye viungo. Uwezi sema awajui ila ukupata ulichotaka. Na hii ni kweli kabisa watu wa pwani wanapenda vikolombwezo vingi na wengine wanataka natural taste

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.

Lakini;

WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana

MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.

Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.

Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.

BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.

Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.

kwa suala la msosi hili huendana na maeneo na aina ya mtu, ni sawa na msukuma umpeleke Dar akale Pweza anaweza kutapika, au Muha wa Kigoma umpeleke Znji ale urojo wakati kazoea Ugali wa mteke na Dagaa wa mawese unamtesa,
kijana wa Dar uliezoea Chipsi na sekela uje Mwanza upewe Udaga hata tonge moja humalizi,

Ila waulize wasanii, waigizaji ni nini huwa kinawaleta Mwanza utapata jibu, pia we mwenyewe ni Apeche ndio maana standard ya msosi uliokutana nao ni wa hadhi yako
 
Pale sahara kuna mmoja Huyo anaitwaga mzee snake,,,,

,,,ugali nyama choma..ugali samaki wa kuchemsha,,,
Alafu kuna ugali wa mtama,,
,,,Kuna ugali na kichuri mura,,
Misosi orijino tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.

Lakini;

WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana

MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.

Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.

Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.

BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.

Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Karibu kanda ya pwani mkuu. Kwa misosi wanajitahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kuikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.

Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.

Ukiona mtu mpaka anaanzisha thread kuiponda mwanza ujuwe wivu unamsumbua 😂😂😂
 
Umeona ee cheki hii kali ya mwaka toka kwa mwanaume wa dar
50237198_798040713893184_5476368118750594308_n.jpg

Ukiona mtu mpaka anaanzisha thread kuiponda mwanza ujuwe wivu unamsumbua 😂😂😂
 
wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kuikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.

Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.
Wanaume wa mikoani pamoja na kua na nguvu za kiume lakini wakigongewa madem zao either wanawauwa wapenzi wao hao na wenyewe wanajinyonga... wanaume wa mikoani dhaifu sana kuhimili mikiki mikiki ya kimapenzi..kwao wanawake ni kitu cha ajabu sana...
 
Mfano ni zipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanafanya mishe tofauti,,,

Rasilimali kama ziwa victoria,,madini,,,kilimo,,mifugo,utalii,

pia kua karibu na kenya,uganda,rwanda inasadia sana kuleta muingiliano na mzunguko wa fedha,,

,,lkn mikoa ya kg,bk,mara,geita,simiyu,singapol(singida),mboka manyema(tabora),,,kuna baadhi ya mahitaji pamoja na bidhaa wanategemea kununua,kuuza kutoka rock city,,,
Kwa sababu hizo na zingine ambazo cjazitaji,zinakufanya hata ukizalisha bidhaa,kuanzisha duka,kufuga,kulima biashara inachanganya vizuri tu,na mkwanja unaingia,,,
 
Back
Top Bottom