Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,651
- 1,251,048
Hehehee na kuliwa mnaliwa vizuri tu na kile kiswahili eti cha dar mwishowe mjing'ate. Huwa mnachekesha sana full ujuaji,tunawachora tu
Hatuna nguvu za kiume lakini tukisema tunatoka daslamu hata kama ni Tandika au Tandale tukija huko mikoani kwenu tunawala hata kama tunapiga kimoja chali