jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
- #21
Ha ha ha tusichoshane ..Chato hakufai mji mzima hata sambusa hakuna,utaambulia nyanya,fulu,maziwa,numbu(viazi vitamu)
tunataka ushahidiHa ha ha tusichoshane ..Chato hakufai mji mzima hata sambusa hakuna,utaambulia nyanya,fulu,maziwa,numbu(viazi vitamu)
tunataka ushahidiLazma atakua cyo wa mwanzaSiku hizi kupata migahawa ya bei za kawaida na bado wakakupa chakula kizuri imekuwa ngumu sana,wapishi kama yule anayelisha opposite na rocky city mall,ni adimu!Nampa hongera yule mama pale nje ya mall unajitahidi kukarangiza.
Zpo ila kwakua cpendeleiNdo maana kitandani wako vizuri we endelea kutafuta viungo vp chipsi hukuiona
Nilikua nafikiria kama kuna mtu anaejulia misos kutoka dar,moro,tanga au mikoa mingne lazma apge hela balaaaKama vipi wekeza huko ufungue mgahawa classic upige hela
Mungu wangu!!! Pamoja na airport ya kimataifa, bohari kubwa ya MSD, ofisi kubwa ya TRA, branch nzuri ya CRDB, kumbe afadhali hata Katoro?
Kwenye mapishi ww ni muongo sikuungi mkono
Huko ni too much.Buselesele.
Hata chakula cha mia tano Mwanza huwezi kukuta cha ovyo kama anavodai yyAtakuwa alikula vyakula vya buku jero.
4000 kuendeleaAtakuwa alikula vyakula vya buku jero.
Kinakuae na wapi huko....Hata chakula cha mia tano Mwanza huwezi kukuta cha ovyo kama anavodai yy
...wanauzuri gani? Tufahamishe ili tuvutikeNdo maana kitandani wako vizuri we endelea kutafuta viungo vp chipsi hukuiona
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[e
![]()
![]()
![]()
![]()
moji23] wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kukikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.
Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.
Fulsa hiyo tembeleenNilikua nafikiria kama kuna mtu anaejulia misos kutoka dar,moro,tanga au mikoa mingne lazma apge hela balaaa
Wanaume wa Dar utawajua tu yaani mpaka samaki anataka wakuuunga na matakataka sasa vibambala ndo utafanyaje?Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Ukapwayuka = ukapayukaMkuu,nakuheshimu.....sidhan kama mtu mzima unaejielewa unaweza kosa ustarabu ukapwayuka matusi ovyo!! Utafikir akili zako hazikai kichwan