Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,749
mimi nilikuwa na ukame wa mda manake wife nilimwacha mbali kitambo, sasa niliona bora nimpe hela ya usumbufu kwasababu mwili wangu ulikataa kabisa kuendelea na mchakato. toka siku hiyo naogopa makahaba balaa hata nikiwa na ndomu (zile wanawekaga kwenye matiti), naona bado.Aseeh kisa chako karibu kifanane na changu.
Mapenzi ni hisia mkuu....kuanza kufanya mapenzi na mtu usiyemjua awe msafi au mchafu...lazima uwe na ukame wa muda mrefu.
Yes, kinachwaharibia ni injini ingekuwa kuna uwezo wa kuipaka injini foundation wagefanya kama wafanyavyo usoni na kichwani.
Uliapia au uliendelea kuchukua wenhime?