Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,434
- 1,769
Sawa mkuu nikiupata nitashareItakuwa vizuri ukiupata mkuu nasi tukasafisha macho.
Bila samahani.
Sawa mkuu nikiupata nitashareItakuwa vizuri ukiupata mkuu nasi tukasafisha macho.
Bila samahani.
Ndio, alafu wengi pale wamekodi vyumba kwa mwezi au kwa miezi kadhaa kabisa.. Ukimchagua mnazama chumbani kwake moja kwa mojaKipindi mawe yanatema mbuguni mamanzi wa pale wamepiga pesa saana.
Kuna mmoja namjua alijenga nyumba. Polo walikuwa wakitoka kuuziana mawe pale chini wanaruka pale...
Ni addiction mbaya saana hiyo...kama unga huachi.Ndio, alafu wengi pale wamekodi vyumba kwa mwezi au kwa miezi kadhaa kabisa.. Ukimchagua mnazama chumbani kwake moja kwa moja
Kuna jamaangu alitoka kijijini nikampitisha hapo siku moja tu ila naona kwa sasa anapahudhuria kama shule [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
PoaPoa...ufunike sura lakini.
Kuna umri akifika ataacha mwenyewe mkuuNi addiction mbaya saana hiyo...kama unga huachi.
Umetupotezea kijana aseeh.
Hapana kwa kweli. Japo hii mitaa ya sinza inatamanisha sanaHujawahi kuwa mteja wewe?
Hahahahaha...Uwe makini hapo makaburini kuna wafu wanajiunga na kina dada wauza.
🙆🙆Uwe makini hapo makaburini kuna wafu wanajiunga na kina dada wauza.