Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Matatizo tumeumbiwa binadamu, sa kama bibi kafa nisiombe rambirambi jamani.....
Ndo bwana ananitendea MUUJIZA ananiletea mtu wa kunisaidia kipindi nna matatizo ha ha ha ha ha
Kodi imeisha ananiletea mtu wa kunisaidia kulipa, nimefiwa ananletea mtu wa kunisaidia sema nene nyie mnadhani mtu anavokuja ndo matatizo yanakuja nooo mtu anakuja anakuta matatizo ninayo ndo hapo naanza kuyaorodhesha ha ha ha ha ha
Kaboom hebu nipe ile mic ya kuimbia kwaya

Kaboom wangu hata huwa halii lii haya mambo madogo madogo, mtu kaombwa elfu20 mbiooo kufungua thread! yeleuwiiiii!! hivi akiombwa laki si atasahsu hata kengele zake zilipo!. hivi viumbe vinaelekea kuteketea aisee.
 
Duh!umejua kutudhalilisha yaani kuna watu humu wauza karanga?tena umefanya kutusitiri ni zile karanga za kutembeza barabarani njugu mia ujugu mia!bora ungesema tuna mashamba ya karanga tunauza jumla basi sawa tumekusoma.
Sasa kama mtu analalamika kapigwa mzinga wa pedi unategemea atakua na mtaji wa milioni? Yani walala hoi kama Evelyn Salt hapa ndo wapigaji kelele humu ila wanaume wenye pesa Akaaaaa wapo kimya.... Ni kama vijibwa koko tu vya mtaani ndo vinaongozaga kwa kubweka, kinabweka huku kinakimbia kujificha ila madogi madogi kweli husikii yakilia
 
unapiga kizinga kulingana na mahitaji, so kizinga ni kizinga tu.p
Si ndo hapo chacha mie nna shida na hela ya mboga tu afu niombe laki hii si kuonea jamani na uharibifu wa pesa za wanaume
 
yaani awaambie kabisa kuwa hii ni mision impossible, wao walie tuuu, wakiona ngumu wamuombe Mungu awabadili jinsia tu, ila hela lazima watoe.

Nataka nikupige mzingo jamaa yangu....!
 
Kaboom wangu hata huwa halii lii haya mambo madogo madogo, mtu kaombwa elfu20 mbiooo kufungua thread! yeleuwiiiii!! hivi akiombwa laki si atasahsu hata kengele zake zilipo!. hivi viumbe vinaelekea kuteketea aisee.
Wanaume wamepungua sana kama tembo walivopungua kwenye hifadhi
 
hatuwakomoi bwana, hebu badili mtazamo wako uone ni kutimiza majukumu yako ya kawaida tu.
Hapana labda baadhi yenu ila wengi ni kama alivyoimba sugu
Sisterduu anakugeuza wewe ndio dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Majukumu hatuyakatai na khasa mi hupenda kuyatimiza ila looh utadhani hatujazaliwa na wanawake wenzenu.
 
Hatutaki fake tunataka original ila gharama za uendeshaji zimepandishwa %1000000 kuliko gharama halisi hilo ndio tunapiga mayowe.
Wewe huwezi kuzimudu hivo paki pembeni punguza jam.... Wapo wanaozimudu
Yani umeshika kisu cha kupakia blue band kwenye mkate afu wataka kula nyama? Hauwezi dear kisu chako kakatie ugali acha wenye majambia wale nyama na mifupa yake....
 
Hapana labda baadhi yenu ila wengi ni kama alivyoimba sugu
Sisterduu anakugeuza wewe ndio dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Majukumu hatuyakatai na khasa mi hupenda kuyatimiza ila looh utadhani hatujazaliwa na wanawake wenzenu.
Ha ha ha ndo umpende aliekuzaa wengine waache Kama walivo
 
Sasa kama mtu analalamika kapigwa mzinga wa pedi unategemea atakua na mtaji wa milioni? Yani walala hoi kama Evelyn Salt hapa ndo wapigaji kelele humu ila wanaume wenye pesa Akaaaaa wapo kimya.... Ni kama vijibwa koko tu vya mtaani ndo vinaongozaga kwa kubweka, kinabweka huku kinakimbia kujificha ila madogi madogi kweli husikii yakilia
Pedi yowe?huyo hafai kuwa mwanamume ipo mizinga unapigwa mpaka moyo unahama sehemu yake kwa muda ni jukumu letu kugharamia ila isiwe tena eeeh na hili?sina uwezo wa kununua vitz au rav4 unanilazimisha ninunue hapo muhali.
 
Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
hahaaaaaaaa
 
Pedi yowe?huyo hafai kuwa mwanamume ipo mizinga unapigwa mpaka moyo unahama sehemu yake kwa muda ni jukumu letu kugharamia ila isiwe tena eeeh na hili?sina uwezo wa kununua vitz au rav4 unanilazimisha ninunue hapo muhali.
Ndo ujue wapiga kelele ni wauza karanga
 
simaanishi wawe legelege watimize majukum yao kwa wenza wao ila shida nikujiombea tu hela hovyo una shida huna ndo style yakuishi hufanyi kazi kutwa kucha macho jujuu kama unasubiria operation nikubeep watu 20 kila mtu ooohhh luku imekata, mamangu anag'oa jino, babangu ana tezi dume bla blaa fanyeni kazi, nwa wanaume waplay role zao kwa wanaowahusu tu

khaaaa!! huo ni mtazamo wako, kazi tunafanya ila hela lazima watoe, na hata adofanya na akiomba yupo anayempa basi na aombe tu, simple like that.shida zipo ili zitatuliwe na kama yupo wa kukusaidia kuzitatua basi thats a blessing.
 
Hapana labda baadhi yenu ila wengi ni kama alivyoimba sugu
Sisterduu anakugeuza wewe ndio dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Majukumu hatuyakatai na khasa mi hupenda kuyatimiza ila looh utadhani hatujazaliwa na wanawake wenzenu.
hahahaaaa! ulivyoongea kwa huruma sasa, hamna bwana we tatua tu hizo shida, sasa umezikuta why uone uchungu kumsaidia?
 
Back
Top Bottom