Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Acha uongo, kweli ni mji lakini waTZ wengi waliujuwa baada ya ile tamthiliaJamani naona hatujaelewana kwani ukisikia ACAPULCO unawaza tamthilia tu?????????ni mji ambao uko Mexico na mimi kujiita Acapulco haina maana naijua hiyo tamthilia,in SHORT CJUI KAMA KUNA TAMTHILIA INAITWA ACAPULCO,tukomenti mada jamani hasa kwa content ambayo ipo tuachane na hilo jina Acapulco