Kina dada na maisha ya tamthilia

mi nipo ulaya huku bado yaoneshwa bana kuna watu wengi wapya lakini bo,hope,shawwn,isabella,marlena,john black,tony dimera na wengineo bado wapo ila watu wanabadilishwa kama kawaida!

Basi kumbe nikiangalia sasa hivi lazima niwe mgeni.
Last time nimeicheki hiyo kitu nadhani ilikuwa 1999.
Tangu enzi zile mpaka leo nahisi ntakuwa mgeni sana.
 
nyingine hizi hapaaa..
todo sobre camila
mis 3 hermanas
Rebecca
...bado za wafilipino wanaolia masaa yote

Kinachonisikitisha ni kuwa hata mimi nazijua zote wanazozitaja hapa!!!
Why ddnt I get a life badala yake nikawa naangalia?
 
Basi kumbe nikiangalia sasa hivi lazima niwe mgeni.
Last time nimeicheki hiyo kitu nadhani ilikuwa 1999.
Tangu enzi zile mpaka leo nahisi ntakuwa mgeni sana.
Yah utakuwa umeshapitwa sana tu...kwasababu imefika mbali sanaaa mi nilikuwa nikiangalia mwanzoni lakini nimeichoka halafu inaoneshwa time mbaya saa nne asubuhi ni kwa watu wanaokaa nyumbani nami nipo busy sio so nimeachana nayo!!!
 
ok!!!!!!
 
Na wewe utakua na yako tena ya kinafiki, jina lako lenyewe ni jina la tamthilia (ACAPULCO) nadhani itakua BAY, WAACHE KINA DADA WA WATU LABDA UNGEWAKUMBUSHA KWAMBA LIVING IS NOT FOR THE WEAK!

living is not for the weak kitu..arrows season 2..i might be right or wrong but i can't be right and wrong at the same time
 
Back
Top Bottom