Kina dada na maisha ya tamthilia

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Jamani kuna baadhi ya kina dada wanapenda maisha ya kuigiza sana kutwa nzima anaangalia tamthilia na kuvutiwa sana na maisha ya kwenye tamthilia hasa zile romantic issues lakini ukimwambia fanya kazi ili uishi maisha kama yale hataki utasikia jamani nampenda alejandro ana mapenzi ya kweli kwa mchumba wake......haelewi kama wale watu wanaigiza na wamefanya kazi ndio maana wanaishi maisha yale romantic.Dada zangu tusiathiriwe na zile romantic za kupeana apple,kuogelea kwa swimming pool yale maisha ya kuigiza tu sio kutwa kucheki romantic tukumbuke na sisi tuna maisha yetu jamani......ni ushauri tu jamani
 
Tamthilia is a reflection of real life.yanayo happen kwny maigizo ni story za binadam not alliens,kuna mafundisho baadhi tunapata and entertainment at th same time,tatzo ni km mtu hutak kufanya kazi utasandaa...
 
Na wewe utakua na yako tena ya kinafiki, jina lako lenyewe ni jina la tamthilia (ACAPULCO) nadhani itakua BAY, WAACHE KINA DADA WA WATU LABDA UNGEWAKUMBUSHA KWAMBA LIVING IS NOT FOR THE WEAK!
 
niliipenda sana ile tamthilia ya ACAPULCO BAY...
MY FAVOURITE TAMTHLIA OF ALL TIMES... 'TONY'
 
hii thread itawafanya watu wakumbuke tamthilia za nyuma.
 
Back
Top Bottom