oel200e
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 276
- 117
Ila kweli kuhusu Kwa baadhi ya wadada wengine ndio mood zinabadilika kabisa,Leo kaona heartbroken basi ataona kila mwanaume anacheat....kesho kaona true love basi na yeye ata fall...kuna wengine huku wameanza kuongea kikorea....eti wataenda kuishi huko oneday.